Hilo jina Akinyi sio geni kwangu.
Akinyi na Mamaake walipanga kumuua mzee mmoja tajiri wa kizungu.
Mzee alikua kashajichokea kiasi anakunywa bia zake anajikojolea mpk afike ndani kwake apande ghorofa msala.
Sasa Akinyi kwanza kaondoka, mama nae sijui yuko wapi mjumba mkubwa kweli.
Niko na mzee garden tunachoma nyama ananisimulia maisha yake ujanani mpk hapo alipo.
Mara akaja kijana wake wa mke mkubwa.
Hakupita mlango wa mbele, karuka senyenge kazama ndani.
Namuuliza mzee huyu nani?
Akasema ni kijana wangu mkubwa huyu.
Tukasalimiana wakabishana sana na babaake.
Kumbe kijana anataka apewe mali za babaake walizochuma na mamaake.
Otherwise zitapotea kwa Akinyi na mamaake.
Hii story mzee kanisimulia mwenyewe.
Baada ya kuchoka.
Mzee kaomba nimshikilie aende akalale.
Aisee tumebebana mzee mwenyewe yuko tough na kashazitwanga.
Kumbe wale washenzi wanajua anapoangukaga mlangoni.
Likategwa li jambia kali haswa

Aisee mungu yupo jamani ningekua na kesi ya mauaji mpk sasa.
Tunaingia hapo mlangoni namkokota yule mzee tukapiga mweleka hapo km kawaida yake.
Lile bisu lilitegwa kiufundi sana mlangoni yaani akifungua mlango litachomoka nayeye aliangukie kwenye moyo kazi iishe.
Sasa hapo misheni ikashindikana
Nilimrescue yule mzee jambia huko,
Nikampeleka chumbani akalale zake.
Aisee ndio baadae Akinyi huyu hapa kaja na polisi kabisa🥲
Na mamaake katokea from no where.
Akinyi -babaangu kauliwa.
Polisi -nani unamuhisi?
Huyu hapa

Walikua wote mda mwingi huko garden.
Nikadakwa hapo ndani inteligensia zifuate.
Wananiuliza namimi nawauliza mzee gani kafa.?
Si huyu mwenye hili ghorofa.
Nikawaambia kafa sa ngapi??
Mi nimempeleka mpk ndani kwake juu kalala.
Khe Twende tukamuone, tukapanda juu mzee mzima kazimika tu.
Ikabidi pale kuulizwa ilikuwaje?
Kusimulia scenario yote ya jioni ile na mambo yaliyotokea,
Akinyi kageuza kibao kwamba niliwaita huyu km kaniibia hela,

Nikasachiwa sina senti na nawadai.
Ikabidi polisi waniombe sorry kwa usumbufu.
Nikaondoka.
Akinyi na mamaake ndani.
Lakini baadae wakatoka yule mzee alikua mzima.
Kumbe pale wanagombea urithi tu.
Mzee alikua tajiri sana huko Kenya.
Akinyi na mamaake ni wakenya
Yule kijana aliruka senyenge ni mzungu piwa.
Nilisoma baadae kwenye magazeti walimmaliza huyo mzee wakadakwa.
Kwa hasira huyo Akinyi akajichanganya siku moja party nje huko sio kwao nikamtengeneza vizuri tu kulipia uongo wake ule.
Hii imenitokea mwenyewe zamani huko
Sorry UMUGHAKA nimepandisha story kwenye uzi wako