Akinyi Must Die (Ni lazima Akinyi Afe)

Akinyi Must Die (Ni lazima Akinyi Afe)

Wewe bwana nenda kaandike story kule kwa jente wa kongo mm siko huku

Fanya upesi two consecutive days ujaweka. Kitu
 
KWENU MASHABIKI WANGU

Kwanza kabisa nipende kutoa shukurani zangu za dhati kwenu na wanajukwaa hili wote ambao mmekuwa nami bega kwa bega.

IKO HIVI

Mwaka jana ndugu zangu nilipata ujumbe ambao ulinitaka kufika Kinondoni ulipokuwa mgahawa Shilole kuonana na jamaa waliojitambulisha kama mabosi wa SWAHILI FLIX ambao waliniambia wamekuwa wadau wa simulizi zangu,hivyo nikakutana nao wakawa wameniambia niwapatie simulizi zangu zote ambazo zilikuwa tayari nishaziandika,sasa moja ya simulizi ni hii AKINYI MUST DIE(NI LAZIMA AKINYI AFE).

Baada ya kuzitazama zote wao walivutiwa na hii,hivyo kuna mambo tulikubaliana na kufikia kusainiana mkataba ambao naweza kusema angalau umenipatia maisha.

Naombeni mniwe radhi sana ndugu zangu kwa kutokuendelea na simulizi hii.

Nilianza kuisimulia simulizi hii kwasababu kuna mambo tulikubaliana walikuwa bado hawajakamilisha na nikadhani hawakua serious,hivyo baada ya kunikamilishia nilichokitaka nikaamua kusitisha ili nisivunje makubaliano.

Haya ni maisha,leo utalala masikini lakini kesho utaamka tajiri.Mimi nawashukuru sana mashabiki zangu wa hapa JF pamoja na ambao si mashabiki,nyinyi ndiyo mmekuwa chachu ya mafanikio yangu.Pia niwashukuru sana wakurugenzi wa JF wakiongozwa na Maxence Melo ambaye ametumia uwezo na maarifa yake ili wana JF tujikomboe kiuchumi.

Mungu awabariki sana.[emoji120]
Hongera mkuu 👊👊
 
Ahsante kwa kushkuru. Na Kila la heri.

Vipi una story nyingine naweza kuijua nikaifuatilia....
 
Back
Top Bottom