Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,150
- 4,330
Kwani si Tushakatazana mambo ya kuitana broo au Bantu Lady hajakuambia!Kiazi cherema tu mie Sina utamu wowote mkuu!!
Karibu tuenjoy Story broo!
Broo ni mpira uliopasuka(pancha)
Si bora uniite uncle tu popote naingia
Au binamu 😁😁
Niambie kamanda wangu Antonnia