Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,156
- 7,696
Hivi, kuna sehemu inaendelea hii hadithi, au imeishia hapa?
Hivi, kuna sehemu inaendelea hii hadithi, au imeishia hapa?
Itaendelea hapa mkuu vuta subla story humu huwa hazitaki haraharaHivi, kuna sehemu inaendelea hii hadithi, au imeishia hapa?
Thank you 👍
Shukraan mkuu UMUGHAKA kwa jibu lako la matumaini!Itaendelea hapa mkuu vuta subla story humu huwa hazitaki harahara
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Binafsi, nikajua amekuja kwa style nyingine, sio ile ya KUTUSUBIRISHA saaaaaaaana kwa hizo… ITAENDELEAAAAA………..!Haya mambo ya inaendelea tulishayamisi UMUGHAKA katurudisha tena
Hawa tuvijana mnawandekeza San hasa huyu umughakaKote bila bila , leo wikiend wakuu, [mention]SteveMollel [/mention] , [mention]Analyse [/mention] & [mention]UMUGHAKA [/mention] please Mmoja ajitoke aisee
Hawa tuvijana mnawandekeza San hasa huyu umughaka
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Story ni kusadikika Haina ukweli japo pretty magambo magambo anasema ni ukweliNataka kujua hii ni true story au ni story ya kutungwa au ni story ya kufikirika/imagination...???