Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 708
- 1,270
Sijui kingerezaIrritating spirit
Sijui kingerezaIrritating spirit
Pole Sana mkuu, umenikumbusha jambo moja umeongea hapo juu.Haya mambo yakuchokozwa na kutukanwa na baadhi ya members humu halafu mimi nikimjibu nakula BAN sidhani kama imekaa sawa.Haiwezekani mtu anatoka huko anakokujua yeye anaanza kuniporomoshea matusi mazito halafu nimuangalie tu!.
Bado sijafikia kiwango hicho cha Utakatifu,kama ni nginja acha iwe nginja.
Wengine hatujaumbwa kuwa watukanaji,mimi nipo kuwaburudisha na kuwaelimisha hadhira yangu na umma wa watanzania wengi wanaojitambua,sasa anatokea mtu anaanza kukuporomoshea matusi ya nguoni kisa tu alikuja Inbox akaomba jambo fulani ukamnyima,ukimjibu kidogo tu anapelekea na wewe kufungiwa,hii siyo sawa moderators,wengine mnatuonea bila sababu ya msingi.
Kama nyuzi zangu zinakupa kero na huzipendi kwanini usipite ukatazame nyuzi zinazokufurahisha?,Kila mtu hapa anasoma anachoona kwake kina manufaa na anachokipenda,kama unaona hutaki usumbufu una-Block au Una - Ignore unaendelea na mishe zako,waachieni watu wanaotaka kujifunza na kuburudika wasome nyuzi zangu.
Hadhira yangu kwa muda wa siku zisizopungua 5 imeshindwa kupata simulizi nzuri na yenye mafunzo kwasababu tu ya watu fulani wajinga ambao hawataki kuniheshimu na kuanza kuniporomoshea matusi mazito,mimi kuwajibu imekuwa nongwa,hili halikubaliki hata kidogo moderators!.
Kuna muda tunachokozwa na kupandishwa hasira na wajinga kadhaa humu JF,sasa ajabu ni kwamba,mtu anapokutukana mara ya kwanza unamripoti hakuna hatua anayochukuliwa,mara ya pili pia ni vivyo hivyo,akikutukana mara ya tatu uzalendo unakushinda unamjibu,ukisha mjibu tu hapo ndipo Moderators wanakuja kuwaadhibu,wanashindwa kumuadhibu toka awali ulipomripoti wao wanakuja kumuadhibu ulipomjibu ambapo wanawaadhibu wote wanashindwa kumuadhibu mtoa matusi au muanzilishi wa matusi,hili halikubariki na nitaendelea kulipigia kelele.
Nimewahi kutoa mapendekezo kwenye uzi wangu mmoja uko kwenye Jukwaa la COMPLAINTS, APPRECIATION AND ADVICE(TO JF) nikasema tuwekeeni Blocking Button yenye nguvu na siyo hiyo Ignore iliyopo sasa,kwasababu kama nikishaona mtu ananitukana nitampiga Block ili aende akawatukane wazazi wake huko kwasababu wao ndiyo walimfundisha ujinga huo.
Aisee nimesikitishwa sana kupigwa BAN kwakosa ambalo limesabishwa na moja ya wapumbavu hapa JF.Wengine tunakiuka taratibu kwasababu ya kuchokozwa na siyo kwamba taratibu hatuzijui!.
Mimi ni mwema na nitaendelea kuwa mwema ila nikitukanwa lazima nijibu mapigo,kama ni kufungiwa nitafungiwa sana na nipo tayari kwa hilo!.
NIMESHINDWA KUSIMULIA STORI KWA SABABU YA WAJINGA KADHAA HAPA JF,HILI HALIKUBALIKI HATA KIDOGO NA NAUMIA SANA.
Huu ni ujumbe wenu Moderators najua uzi huu mnaupitia.
Ni hayo tu.
Haya mambo yakuchokozwa na kutukanwa na baadhi ya members humu halafu mimi nikimjibu nakula BAN sidhani kama imekaa sawa.Haiwezekani mtu anatoka huko anakokujua yeye anaanza kuniporomoshea matusi mazito halafu nimuangalie tu!.

Kunywa maji Moyo uelee wanaume hatulalamiki ovyo [emoji23]Haya mambo yakuchokozwa na kutukanwa na baadhi ya members humu halafu mimi nikimjibu nakula BAN sidhani kama imekaa sawa.Haiwezekani mtu anatoka huko anakokujua yeye anaanza kuniporomoshea matusi mazito halafu nimuangalie tu!.
Bado sijafikia kiwango hicho cha Utakatifu,kama ni nginja acha iwe nginja.
Wengine hatujaumbwa kuwa watukanaji,mimi nipo kuwaburudisha na kuwaelimisha hadhira yangu na umma wa watanzania wengi wanaojitambua,sasa anatokea mtu anaanza kukuporomoshea matusi ya nguoni kisa tu alikuja Inbox akaomba jambo fulani ukamnyima,ukimjibu kidogo tu anapelekea na wewe kufungiwa,hii siyo sawa moderators,wengine mnatuonea bila sababu ya msingi.
Kama nyuzi zangu zinakupa kero na huzipendi kwanini usipite ukatazame nyuzi zinazokufurahisha?,Kila mtu hapa anasoma anachoona kwake kina manufaa na anachokipenda,kama unaona hutaki usumbufu una-Block au Una - Ignore unaendelea na mishe zako,waachieni watu wanaotaka kujifunza na kuburudika wasome nyuzi zangu.
Hadhira yangu kwa muda wa siku zisizopungua 5 imeshindwa kupata simulizi nzuri na yenye mafunzo kwasababu tu ya watu fulani wajinga ambao hawataki kuniheshimu na kuanza kuniporomoshea matusi mazito,mimi kuwajibu imekuwa nongwa,hili halikubaliki hata kidogo moderators!.
Kuna muda tunachokozwa na kupandishwa hasira na wajinga kadhaa humu JF,sasa ajabu ni kwamba,mtu anapokutukana mara ya kwanza unamripoti hakuna hatua anayochukuliwa,mara ya pili pia ni vivyo hivyo,akikutukana mara ya tatu uzalendo unakushinda unamjibu,ukisha mjibu tu hapo ndipo Moderators wanakuja kuwaadhibu,wanashindwa kumuadhibu toka awali ulipomripoti wao wanakuja kumuadhibu ulipomjibu ambapo wanawaadhibu wote wanashindwa kumuadhibu mtoa matusi au muanzilishi wa matusi,hili halikubariki na nitaendelea kulipigia kelele.
Nimewahi kutoa mapendekezo kwenye uzi wangu mmoja uko kwenye Jukwaa la COMPLAINTS, APPRECIATION AND ADVICE(TO JF) nikasema tuwekeeni Blocking Button yenye nguvu na siyo hiyo Ignore iliyopo sasa,kwasababu kama nikishaona mtu ananitukana nitampiga Block ili aende akawatukane wazazi wake huko kwasababu wao ndiyo walimfundisha ujinga huo.
Aisee nimesikitishwa sana kupigwa BAN kwakosa ambalo limesabishwa na moja ya wapumbavu hapa JF.Wengine tunakiuka taratibu kwasababu ya kuchokozwa na siyo kwamba taratibu hatuzijui!.
Mimi ni mwema na nitaendelea kuwa mwema ila nikitukanwa lazima nijibu mapigo,kama ni kufungiwa nitafungiwa sana na nipo tayari kwa hilo!.
NIMESHINDWA KUSIMULIA STORI KWA SABABU YA WAJINGA KADHAA HAPA JF,HILI HALIKUBALIKI HATA KIDOGO NA NAUMIA SANA.
Huu ni ujumbe wenu Moderators najua uzi huu mnaupitia.
Ni hayo tu.
Ndio uache na wew kuwatukan watu mnk na wew kwa matusi hujambo Sasa kwa nn usishughulikiwe ???Haya mambo yakuchokozwa na kutukanwa na baadhi ya members humu halafu mimi nikimjibu nakula BAN sidhani kama imekaa sawa.Haiwezekani mtu anatoka huko anakokujua yeye anaanza kuniporomoshea matusi mazito halafu nimuangalie tu!.
Bado sijafikia kiwango hicho cha Utakatifu,kama ni nginja acha iwe nginja.
Wengine hatujaumbwa kuwa watukanaji,mimi nipo kuwaburudisha na kuwaelimisha hadhira yangu na umma wa watanzania wengi wanaojitambua,sasa anatokea mtu anaanza kukuporomoshea matusi ya nguoni kisa tu alikuja Inbox akaomba jambo fulani ukamnyima,ukimjibu kidogo tu anapelekea na wewe kufungiwa,hii siyo sawa moderators,wengine mnatuonea bila sababu ya msingi.
Kama nyuzi zangu zinakupa kero na huzipendi kwanini usipite ukatazame nyuzi zinazokufurahisha?,Kila mtu hapa anasoma anachoona kwake kina manufaa na anachokipenda,kama unaona hutaki usumbufu una-Block au Una - Ignore unaendelea na mishe zako,waachieni watu wanaotaka kujifunza na kuburudika wasome nyuzi zangu.
Hadhira yangu kwa muda wa siku zisizopungua 5 imeshindwa kupata simulizi nzuri na yenye mafunzo kwasababu tu ya watu fulani wajinga ambao hawataki kuniheshimu na kuanza kuniporomoshea matusi mazito,mimi kuwajibu imekuwa nongwa,hili halikubaliki hata kidogo moderators!.
Kuna muda tunachokozwa na kupandishwa hasira na wajinga kadhaa humu JF,sasa ajabu ni kwamba,mtu anapokutukana mara ya kwanza unamripoti hakuna hatua anayochukuliwa,mara ya pili pia ni vivyo hivyo,akikutukana mara ya tatu uzalendo unakushinda unamjibu,ukisha mjibu tu hapo ndipo Moderators wanakuja kuwaadhibu,wanashindwa kumuadhibu toka awali ulipomripoti wao wanakuja kumuadhibu ulipomjibu ambapo wanawaadhibu wote wanashindwa kumuadhibu mtoa matusi au muanzilishi wa matusi,hili halikubariki na nitaendelea kulipigia kelele.
Nimewahi kutoa mapendekezo kwenye uzi wangu mmoja uko kwenye Jukwaa la COMPLAINTS, APPRECIATION AND ADVICE(TO JF) nikasema tuwekeeni Blocking Button yenye nguvu na siyo hiyo Ignore iliyopo sasa,kwasababu kama nikishaona mtu ananitukana nitampiga Block ili aende akawatukane wazazi wake huko kwasababu wao ndiyo walimfundisha ujinga huo.
Aisee nimesikitishwa sana kupigwa BAN kwakosa ambalo limesabishwa na moja ya wapumbavu hapa JF.Wengine tunakiuka taratibu kwasababu ya kuchokozwa na siyo kwamba taratibu hatuzijui!.
Mimi ni mwema na nitaendelea kuwa mwema ila nikitukanwa lazima nijibu mapigo,kama ni kufungiwa nitafungiwa sana na nipo tayari kwa hilo!.
NIMESHINDWA KUSIMULIA STORI KWA SABABU YA WAJINGA KADHAA HAPA JF,HILI HALIKUBALIKI HATA KIDOGO NA NAUMIA SANA.
Huu ni ujumbe wenu Moderators najua uzi huu mnaupitia.
Ni hayo tu.
Exactly uko vzr mfundishe huyu mugaka ambae yey mtu akimchallenge tu anamporomoshea matusi na pia hana uvumilivu ,unapamban na watu usio wajuwa mban ujinga huoPole Sana mkuu, umenikumbusha jambo moja umeongea hapo juu.
Lugha mbaya, matusi, tabia yeyote mbaya kwenye jamii Ni kweli kabisa kwa asilimia kubwa Sana huwa Ni ya mtu binafsi, Ila huwa Ni kielelezo kikubwa cha kuitukanisha familia au wazazi wa mtu mwenye mojawapo ya hizo tabia, mtu anavyotukana atajiona mjanja Sana Ila kiuhalisia anajitukanisha yeye na wazazi wake waliomlea kitu ambacho si kizuri.
Niliacha kuongea lugha mbaya siku nilimjibu mtu lugha Kali akanijibu kiustaarabu Sana, "Ahsante, hivi ndivyo mama yako amekufunza" aiseeee ilikuwa mwisho. Nikajua kumbe Mimi nawakilisha Hadi familia yangu kwa matendo yangu.
Nimekuwa najitahidi Sana kuvumilia ujinga wa watu, sema ndio hivyo Kuna watu ukiwavumilia hawavumiliki kiasi wanatupa tabu sana
Mmmmm! Nadhani wewe ndiye uliyesababisha!Ndio uache na wew kuwatukan watu mnk na wew kwa matusi hujambo Sasa kwa nn usishughulikiwe ???
I Thanks jf kwa kukutuliza wenge and wish ungepigwa life ban kbsa ili uje na I'd mpya akili ikiwa imekukaha sawa
Na ukiendelee kuwa mkaidi tutakuripoti ASAP ....
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Exactly uko vzr mfundishe huyu mugaka ambae yey mtu akimchallenge tu anamporomoshea matusi na pia hana uvumilivu ,unapamban na watu usio wajuwa mban ujinga huo
Pia umughaka anatofuatiana na watu mitazamo yey hajui kuwa watu Wana mitazamo tofauti tofauti yey Ni kujibu shiti tu Kwann asifungiwe yey Ni nani
Si ajabu jamaa enu alikwenda kuwaporomoshea watu wa ccm matusi kwenye majukwa ya siasa ,ndio maana akapigwa ban
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Fanya hima iwekwe hyo button ya block ..ili nafs yako ifurahiKiuhalisia wewe jamaa ni mtu mmoja mpumbavu sana! Moderator wajitahidi waweke button ya block! Utajikuta huku jf unachambana na familia yako tu! Maana hakuna ambaye angetaka ujihusishe na uzi wake! Kiufupi wewe ni juha!
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Bora maana hii dialogue ya story ilkua ya i std 2.ina faa kwenye cinemaKWENU MASHABIKI WANGU
Kwanza kabisa nipende kutoa shukurani zangu za dhati kwenu na wanajukwaa hili wote ambao mmekuwa nami bega kwa bega.
IKO HIVI
Mwaka jana ndugu zangu nilipata ujumbe ambao ulinitaka kufika Kinondoni ulipokuwa mgahawa Shilole kuonana na jamaa waliojitambulisha kama mabosi wa SWAHILI FLIX ambao waliniambia wamekuwa wadau wa simulizi zangu,hivyo nikakutana nao wakawa wameniambia niwapatie simulizi zangu zote ambazo zilikuwa tayari nishaziandika,sasa moja ya simulizi ni hii AKINYI MUST DIE(NI LAZIMA AKINYI AFE).
Baada ya kuzitazama zote wao walivutiwa na hii,hivyo kuna mambo tulikubaliana na kufikia kusainiana mkataba ambao naweza kusema angalau umenipatia maisha.
Naombeni mniwe radhi sana ndugu zangu kwa kutokuendelea na simulizi hii.
Nilianza kuisimulia simulizi hii kwasababu kuna mambo tulikubaliana walikuwa bado hawajakamilisha na nikadhani hawakua serious,hivyo baada ya kunikamilishia nilichokitaka nikaamua kusitisha ili nisivunje makubaliano.
Haya ni maisha,leo utalala masikini lakini kesho utaamka tajiri.Mimi nawashukuru sana mashabiki zangu wa hapa JF pamoja na ambao si mashabiki,nyinyi ndiyo mmekuwa chachu ya mafanikio yangu.Pia niwashukuru sana wakurugenzi wa JF wakiongozwa na Maxence Melo ambaye ametumia uwezo na maarifa yake ili wana JF tujikomboe kiuchumi.
Mungu awabariki sana.[emoji120]
Sasa umejuaje kama hicho ni kingereza ili hali hukijui?Sijui kingereza