Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Kweli teeeena naamini nikikutembelea hautashtuka tena.Sema kweli jamanii
lol.
Kweli teeeena naamini nikikutembelea hautashtuka tena.Sema kweli jamanii
@culture gal atakuja kukutembelea sawa dada akee shunieAbee
Hahahaha Ole atakupiga nyingi sana bora ukapaki basi Tu kupunguza magoli
Na mimi nimekataa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiache kuleta mrejesho maana kama kinywaji aina ya kung fu kilimliza sipatii picha ukimcharaza ndimi za kenge ( hahahahahahaaaaaaaa......) atakuimbia kitanga hakiyanani!
MmmhKweli teeeena naamini nikikutembelea hautashtuka tena.
lol.
HahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaAkiiii
Nilipita hata like sikukugongea kabisaaa!
Nikasema ni huyu Mbalizi nayemjuaaa akiii...
Nilitetemekaaaaaaaa
Ila ndo ushakuwa kakangu akii!!!
Wapi huko eti@culture gal atakuja kukutembelea sawa dada akee shunie
Ila wanawake tupo tofauti jamani wengine hata kuomba hatuwezi kama mwanaume hajiongezi ndio basi tena Sakayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kusaidiana katika mapenzi kupo wala sio jambo la ajabu ila linapokuja suala la ndio kwanza mnaanza zile "eenh, tell me your hobbies, do you watch movies? (ndio maswali yangu hayo, [emoji23])"
Kabla sijajibiwa naombwa pesa daah hiyo Noma bhana Shunie.
Hahahahaha mbavu zangu jamani,Usiache kuleta mrejesho maana kama kinywaji aina ya kung fu kilimliza sipatii picha ukimcharaza ndimi za kenge ( hahahahahahaaaaaaaa......) atakuimbia kitanga hakiyanani!
Kwani mwanzo mlikua mnaitanaje jamaniiiHahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
Unanivunja mbav Sakayo kweli sikuwezi!
Nilikuona sana na nilijua kbs pale umeruka na kutoka nduki
Kwahiyo nianze kukuita dada au sio!
Mdogo mtu utakaa nje sio tena na wewe sebuleni hubanduki.@culture gal atakuja kukutembelea sawa dada akee shunie
Najua wapi mm jamani we msubiri tuWapi huko eti
We si ni mama mchungaji lknSikuthubutu kutoa hata like ya salamu aki
Ndimi za kenge ndio zipi hizoAtakung'utwa ndimi za kenge achanganyikiwe muache tu jaman
Hahahahaaaaaa
Hukuniona kabisaaa akiiiiHahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
Unanivunja mbav Sakayo kweli sikuwezi!
Nilikuona sana na nilijua kbs pale umeruka na kutoka nduki
Kwahiyo nianze kukuita dada au sio!
Mm nitakaa nje nimsubiri dada angu anipe mrejesho tuMdogo mtu utakaa nje sio tena na wewe sebuleni hubanduki.