Akina dada wengi wana ugonjwa wa kulia shida

Akina dada wengi wana ugonjwa wa kulia shida

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa...

Nimecheka kwa sauti akiii

Sakayo una vituko!!

We niogope hivohivo hata wale wenzio ulionisoma huko ulikopita mwanzoni waliniogopa kama wewe
Akiiii
Nilipita hata like sikukugongea kabisaaa!
Nikasema ni huyu Mbalizi nayemjuaaa akiii...

Nilitetemekaaaaaaaa

Ila ndo ushakuwa kakangu akii!!!
 
Ni sahihi kabisa kama uwezo unao unaombwa toa tu
Kusaidiana katika mapenzi kupo wala sio jambo la ajabu ila linapokuja suala la ndio kwanza mnaanza zile "eenh, tell me your hobbies, do you watch movies? (ndio maswali yangu hayo, [emoji23])"
Kabla sijajibiwa naombwa pesa daah hiyo Noma bhana Shunie.
 
Back
Top Bottom