Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,316
- Thread starter
- #21
Hilo ndo jibu mubashara.Mkuu,means alikuwepo aliyekuwa anahudumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndo jibu mubashara.Mkuu,means alikuwepo aliyekuwa anahudumia
Mnakosa utamu pole yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah.. Njoo ujiunge na utawa ndugu yote hayo utayasikia kwenye bomba
Mwanaume anaanzia wapi kulia shida hivi asee!Picha haiji kabisa za mwanaume kuniambia haya mamboBora hata wewe siku tatu,
Mimi baada ya masaa manne ya kupeana namba na kuanza kuchat nikaambiwa mwenye nyumba anataka kumfukuza sababu hajalipa pesa ya umeme na maji kwa miezi mitatu hivyo nimlipie siku hiyo hiyo kabla hajafukuzwa kesho yake.
Ugumu wa maisha tu hakuna mtu anayependa kua omba omba.
HahaaBora hata wewe siku tatu,
Mimi baada ya masaa manne ya kupeana namba na kuanza kuchat nikaambiwa mwenye nyumba anataka kumfukuza sababu hajalipa pesa ya umeme na maji kwa miezi mitatu hivyo nimlipie siku hiyo hiyo kabla hajafukuzwa kesho yake.
Ugumu wa maisha tu hakuna mtu anayependa kua omba omba.
Mkuu ID yako ni Culture gal bila Shaka ni KE Imekuwaje tena kuombwa hela ya umeme na maji au mm ndio niko nyuma ya wakati?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Upo nyuma ya wakati brodha.... Shtuka halafu toka ndukiiii.
Lol.
We mzee nakupenda mmUkioa;
Unalipa pango ( kodi ) ya nyumba
Unalipa gharama za umeme
Unalipa gharama za maji
Unalipa ada za watoto shule
Unalipa gharama za mkeo salon, unamgharamia simu na vocha na mavazi
Unalipa gharama zote za matumizi ya ndani kama chakula, malazi na mavazi ya familia
Unalipa gharama za matibabu ikitokea mwanafamilia kaugua
Utaratibu huu hauibuki tu toka hewani, ni utaratibu uliojengeka tangu enzi za kale huko hivyo umeshajengeka katika mifumo ya fahamu tangu utoto hadi ujana na ukubwa kisha uzeeni.
Kumudu majukumu yote hayo kwa mwanaume sio kazi ndogo na mjengeko wake hauji tu ukubwani. Namna unavomudu kuendesha mahusiano yako tangu ujana ndivyo hivyo hivyo utakavyomudu hata utakapoamua kuanza kuwa na familia kwa maana ya kuoa na kuwa na watoto.
Wazazi wangu walinifunza mara zote kwamba mwanaume ukitoka nyumbani ni vema unaporudi walau uwe na chochote kitu mikononi hata kama ni kidogo kwaajili ya familia.
Sijaelewa aki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu umechangia vyema lakini tangia nikuone kwenye uzi wa mdau mmoja ulivyo kuwa unajisifia kufanya three some sijuiUkioa;
Unalipa pango ( kodi ) ya nyumba
Unalipa gharama za umeme
Unalipa gharama za maji
Unalipa ada za watoto shule
Unalipa gharama za mkeo salon, unamgharamia simu na vocha na mavazi
Unalipa gharama zote za matumizi ya ndani kama chakula, malazi na mavazi ya familia
Unalipa gharama za matibabu ikitokea mwanafamilia kaugua
Utaratibu huu hauibuki tu toka hewani, ni utaratibu uliojengeka tangu enzi za kale huko hivyo umeshajengeka katika mifumo ya fahamu tangu utoto hadi ujana na ukubwa kisha uzeeni.
Kumudu majukumu yote hayo kwa mwanaume sio kazi ndogo na mjengeko wake hauji tu ukubwani. Namna unavomudu kuendesha mahusiano yako tangu ujana ndivyo hivyo hivyo utakavyomudu hata utakapoamua kuanza kuwa na familia kwa maana ya kuoa na kuwa na watoto.
Wazazi wangu walinifunza mara zote kwamba mwanaume ukitoka nyumbani ni vema unaporudi walau uwe na chochote kitu mikononi hata kama ni kidogo kwaajili ya familia.
Hahhahaha ambacho haujaelewa ni nn eti culture gal ebu ukuje umueleweshe huyu mremboSijaelewa aki
Pole mzee wa chesix
MmmhHahhahaha ambacho haujaelewa ni nn eti culture gal ebu ukuje umueleweshe huyu mrembo
Asante mkuu...ndio natoka icu leo,kile kipigo sii cha kawaidaPole mzee wa chesix
Kila mtu ana upeo wake na mifumo yake ndugu.Mkuu umechangia vyema lakini tangia nikuone kwenye uzi wa mdau mmoja ulivyo kuwa unajisifia kufanya three some sijui
Napata ukakasi sana kusoma michango yako
Ile pep timu nayo wanaroho mbaya sana
Mimi zaidi kwa navokupendaWe mzee nakupenda mm
Hakuna sehemu nimekuhukumu mkuuKila mtu ana upeo wake na mifumo yake ndugu.
Upo sahihi kwa upande wako. Babu yangu aliniasa niepuke sana kuhukumu.
Siku zote akili za kuambiwa changanya na zako ndugu
Hahaha hahaha hahahaKila mtu ana upeo wake na mifumo yake ndugu.
Upo sahihi kwa upande wako. Babu yangu aliniasa niepuke sana kuhukumu.
Siku zote akili za kuambiwa changanya na zako ndugu