Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,281
[emoji8][emoji8] unavyojua wajibu wako huo ndio uanaume mwanaume hutakiwi kuombwa kabisa cheza nafasi yako tuMimi zaidi kwa navokupenda
[emoji8][emoji8] unavyojua wajibu wako huo ndio uanaume mwanaume hutakiwi kuombwa kabisa cheza nafasi yako tuMimi zaidi kwa navokupenda
Ulisoma wapi huko tenaHahaha hahaha hahaha
Kiukweli hata mie nakuogopa saivi, sikuamini nilichokisoma!
Ila wewe utabaki kuwa kakangu aki
Kuna sehemu nilipita bahati mbaya aki... Nikamkuta daaah, aibu niliona mimiUlisoma wapi huko tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna sehemu nilipita bahati mbaya aki... Nikamkuta daaah, aibu niliona mimi
We cheka tuu aki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salaam wakuu..
Toka mwaka uanze sijadondosha thread hapa, naomba ruhusa yenu nitiririke kidogo. Na hii naomba akina dada mchangie kwa sana ili nipate kujua ugonjwa wenu unasababishwa na nini.
Unakuta una date na mwanaume ndani ya siku tatu unaanza kumuangushia shida kede kede hali ya kuwa kabla hamjaonana sijui ulikua unahudumiwa na nani...
Naongea nikiwa na uzoefu nalo na pia tayari linishanikuta...
Jinsi nilivo date na mdada halafu akataka kunigeuza ATM ndani ya siku tatu...
Nilianzisha mahusiano nae siku ya kwanza ikapita ya pili nayo free kimbembe siku ya tatu...
Nilianza kuambiwa sina hela ya chai na huo mtindo ulitakiwa uwe endelevu, akanambia gas imeisha nikamwekea limemaliza hili nikaambiwa kodi ndani ya wiki hiyo hiyo. Nikajua hapa kinachofata nitafilisiwa ikabidia nitunge uongo ili angalau nipumuwe angalau mwezi.
Kilichonishangaza ni kwamba na mimi niliomba game nikajibiwa bado mapema... Sasa hapo na mimi nikapata sababu, alikua akiniomba kitu namjibu bado mapema akawa ananuna.
Nikaamua kumwacha aende maana nilijua hapana litakalokuwa.
Kwenu akina dada kwanini mnakuwa hivi? Hamjui kula na kipofu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu kukuuliza haujafika nalo ni kosa jamaniWewe unasema siku tatu!
Mimi akinipa namba, hata saa 6 haifiki unaulizwa umefika my?
Tuwazoee tu, naona ndiyo mfumo mpya waliotumwa na Kocha wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanatufukuza mapema aiseeh mtu unakute labda una lengo nae mfike hata mbalii then unaanza kuleta dhiki kama mwanamke malaya.Bora hata wewe siku tatu,
Mimi baada ya masaa manne ya kupeana namba na kuanza kuchat nikaambiwa mwenye nyumba anataka kumfukuza sababu hajalipa pesa ya umeme na maji kwa miezi mitatu hivyo nimlipie siku hiyo hiyo kabla hajafukuzwa kesho yake.
Ugumu wa maisha tu hakuna mtu anayependa kua omba omba.
Niache kuiwajibikia familia yangu kwa kutegemea nani awajibike? mke wangu!!!?[emoji8][emoji8] unavyojua wajibu wako huo ndio uanaume mwanaume hutakiwi kuombwa kabisa cheza nafasi yako tu
Umeongea vema kabisa,Ukioa;
Unalipa pango ( kodi ) ya nyumba
Unalipa gharama za umeme
Unalipa gharama za maji
Unalipa ada za watoto shule
Unalipa gharama za mkeo salon, unamgharamia simu na vocha na mavazi
Unalipa gharama zote za matumizi ya ndani kama chakula, malazi na mavazi ya familia
Unalipa gharama za matibabu ikitokea mwanafamilia kaugua
Utaratibu huu hauibuki tu toka hewani, ni utaratibu uliojengeka tangu enzi za kale huko hivyo umeshajengeka katika mifumo ya fahamu tangu utoto hadi ujana na ukubwa kisha uzeeni.
Kumudu majukumu yote hayo kwa mwanaume sio kazi ndogo na mjengeko wake hauji tu ukubwani. Namna unavomudu kuendesha mahusiano yako tangu ujana ndivyo hivyo hivyo utakavyomudu hata utakapoamua kuanza kuwa na familia kwa maana ya kuoa na kuwa na watoto.
Wazazi wangu walinifunza mara zote kwamba mwanaume ukitoka nyumbani ni vema unaporudi walau uwe na chochote kitu mikononi hata kama ni kidogo kwaajili ya familia.
Hahaha babe kwako wala sina hiyana, mwambie mwenye nyumba awe tayari kwa sms ya Tigo pesa/Mpesa tu.
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa...Hahaha hahaha hahaha
Kiukweli hata mie nakuogopa saivi, sikuamini nilichokisoma!
Ila wewe utabaki kuwa kakangu aki
Kwa wanawake ni sahihi eeenh??Mwanaume anaanzia wapi kulia shida hivi asee!Picha haiji kabisa za mwanaume kuniambia haya mambo
Sikukuelewa vizuri ile ulivoandika "unapata ukakasi".Hakuna sehemu nimekuhukumu mkuu
I respect you
Hahaha huyo mrembo yeye kila siku hua haelewi itabidi nimtembelee siku moja ili aelewe.Hahhahaha ambacho haujaelewa ni nn eti culture gal ebu ukuje umueleweshe huyu mrembo
Kwahiyo mkuu kukuuliza haujafika nalo ni kosa jamani
Ni sahihi kabisa kama uwezo unao unaombwa toa tuKwa wanawake ni sahihi eeenh??