Some to you k ,Icheze na kazi yake sio kuvutana vutana[emoji8][emoji8] unavyojua wajibu wako huo ndio uanaume mwanaume hutakiwi kuombwa kabisa cheza nafasi yako tu
Maybe a lesb..Mkuu ID yako ni Culture gal bila Shaka ni KE Imekuwaje tena kuombwa hela ya umeme na maji au mm ndio niko nyuma ya wakati?
Sent using Jamii Forums mobile app