[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona napitwa mm mwanzo mlikua mnaitana vipi kwaniHukuniona kabisaaa akiiii
Venye nilikimbiaaa hakuna mtu aliona hata kivuli changu kabisaaa...
Kwa mistari ileeee niloionaaa akiiiiii
Niite tuu dada
Mnaongea nini etiMm nitakaa nje nimsubiri dada angu anipe mrejesho tu
Daah nimecheka sana eti ndimi za kenge unajua wewe Mbalizi muhuni sana,Atakung'utwa ndimi za kenge achanganyikiwe muache tu jaman
Hahahahaaaaaa
Kwakweli woiiiii hiko ni kipaji acha tuwaachie wengineMie naweza kulala hata njaaa, lakini sio kuomba!!
HahahaaaaaaaaaaaaaaaaaHahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Mbalizi sitaki maneno na wewe ujue?!
Muone kwanza
Tukumbushane hebu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona napitwa mm mwanzo mlikua mnaitana vipi kwani
EwaaaaaWe si ni mama mchungaji lkn
Hahahahaaaaa
KhaaaaaMnaongea nini eti
Ukumbushane na nani tenaTukumbushane hebu
EeeehhhHahahahaha mbavu zangu jamani,
Ngoja niandae mazingira.
[emoji39]
Na weweUkumbushane na nani tena
[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]Na mimi nimekataa.
[emoji4][emoji4]
Hizo fungua semi veeepeeeHahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Bas sawa "dada" Sakayo
Sijajua maake nimeambiwa sasa hivi mimi ni kaka yake tuKwani mwanzo mlikua mnaitanaje jamaniii
@culturegal anakuja kukujibuNdimi za kenge ndio zipi hizo
Mm nitajuaje mlivyokua mnaitana mpaka sasa muitane dada na kakaNa wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka mm woiiiiiSijajua maake nimeambiwa sasa hivi mimi ni kaka yake tu
HahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHukuniona kabisaaa akiiii
Venye nilikimbiaaa hakuna mtu aliona hata kivuli changu kabisaaa...
Kwa mistari ileeee niloionaaa akiiiiii
Niite tuu dada
@Sakayo anayo majibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona napitwa mm mwanzo mlikua mnaitana vipi kwani