Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Unafikiri wanaopata mimba hawajui? ni uzembe sana, ila wanaume pia wa kulaumiwa, wanapenda sana kula pipi bila maganda, msichana usipojisimamia, ukawa ngangali uakwenda na maji. ushauri pia kwa nyie wa kaka, msijipende nyie tu, kulamba sali hafu cxonsequenses mnamwachia mwanamke. Mimba ni muungano wa male and female so lawama kwa wote.
Well said,..
bora hukuongelea swala la kutoa mimba maana watu hapa wame likomalia kama vile ndo limeandikwa kwenye vitabu vyao vitakatifu!
Ukitaka raha basi ubebe na msalaba unaoletwa na raha hiyo au msalaba unaoleta raha unayotaka