Akina dada mnaijua tekniki hii?

Akina dada mnaijua tekniki hii?

......embu jaribuni idea yangu hii .. kwa kutumia simu

HII INAITWA Vibration test:

1.TAFUTA SIMU NOKIA 1100.

2.HAKIKISHA INA UWEZO WA KU VIBRATE

MATUMIZI

farasi akianza safari yake tuu wewe ni kumtegea kabla hajafika huko kijijini

na kwakuwa wewe ni mwenyeji unakijua vyema hicho kijiji ?
ukiona anakaribia basi una iwasha vibrate kisha simu unamwekea mgongoni

mshituko atakao upata hapo hahaha lazima aanze upya aisee!!

ndo anachokufanyiaga evelyn salt
 
aaahhh!wankumbusha enzi zangu nacheza mpira mchangani,wakati wa penati unaminya kende akose!
 
Tatizo watu hawana elimu ya mambo ya sex,ngoja niweke wazi kwa mwanamme rijali umchukua dakika 1 hadi 5 kufika mshindo,na kwa mwanamke umchukua dakika 15 hadi 20 kufika kileleni so inahitaji m/me kuwa na techniq kuweza kumfikisha kileleni,hayo mambo ya pini ni myths tu mie zamani nilisikia m/ke akichukua pini akichomeka kwenye kanga basi dushelele haisimami lkn sijawahi kuprove!!!
 
Hiyo bana haikubaliki mi nilijua utamalizia kwa kusema kuwa anatakiwa amchome kidogo na ile pini ili kumkata stimu jamaa yake,lakini kwa huo utaalamu wako mh,mh!naunga hoja ya King'asti
 
Hiyo bana haikubaliki mi nilijua utamalizia kwa kusema kuwa anatakiwa amchome kidogo na ile pini ili kumkata stimu jamaa yake,lakini kwa huo utaalamu wako mh,mh!naunga hoja ya King'asti

Thomaso!! fanya majaribio ndo ukatae mdau.
 
Kama Boy friend/Mumeo anatatizo lifuatalo huu ni ufumbuzi wake.

Mnapokuwa faragha wakati wa majamboz boy friend/mumeo ana tatizo la kuwahi kumaliza kabla hata wewe hujafika hata robo ya 'safari'?

Mbaya zaidi wengine hutumia chini ya dakika tano(5) na akishamaliza hana 'mzuka' tena.

Ufumbuzi.

Dadkika chache kabla hamjaanza majamboz, tafuta pini(exactly iwe dizaini kama hiyo pichani).
Ibane kwenye nywele zako(za kichwani), hakikisha mwenzi wako haioni.
Kisha anzeni majambozi.

Nakuhakikishia mtapiga gemu na jamaa hatofika ila ataendelea kuwa fit mpaka utakapoitoa ile pini ndipo 'atamaliza'

So kazi itakuwa kwako mwanadada kwani pini yako ni kama remote control yako, ukitaka amalize unaitoa pini yako ukitaka aendelee hata kwa masaa matatu mfululizo unaicha tuu pini.

Kumbuka.
Hii ni kwa akina dada wenye nywele ndefu ziwe natural au hata 'wivingi', rasta etc.

Zingatia:
Mwenzi wako hatakiwi kuiona hiyo pini wala hatakiwi kujua kama unatumia hii mbinu.

NB: huu sio uchawi na wala haihusiani na ushirikina bali ni urithi kutoka kwa bibi zetu.
Proudly African.

adios....amigo.

Safety_Pin.jpg

Inaonesha hii techniki hawaijui.

Kama hii techniki inachelewesha mwanamume kufikia kilele hakuna angalizo lolote mkuu ndibalema, kwa mfano, kama mwanaume hajala chakula akashiba ipasavyo huoni kama kuna hatari ya kuua bila kukusudia? Nawaza tu!
 
Kama Boy friend/Mumeo anatatizo lifuatalo huu ni ufumbuzi wake.

Mnapokuwa faragha wakati wa majamboz boy friend/mumeo ana tatizo la kuwahi kumaliza kabla hata wewe hujafika hata robo ya 'safari'?

Mbaya zaidi wengine hutumia chini ya dakika tano(5) na akishamaliza hana 'mzuka' tena.

Ufumbuzi.

Dadkika chache kabla hamjaanza majamboz, tafuta pini(exactly iwe dizaini kama hiyo pichani).
Ibane kwenye nywele zako(za kichwani), hakikisha mwenzi wako haioni.
Kisha anzeni majambozi.

Nakuhakikishia mtapiga gemu na jamaa hatofika ila ataendelea kuwa fit mpaka utakapoitoa ile pini ndipo 'atamaliza'

So kazi itakuwa kwako mwanadada kwani pini yako ni kama remote control yako, ukitaka amalize unaitoa pini yako ukitaka aendelee hata kwa masaa matatu mfululizo unaicha tuu pini.

Kumbuka.
Hii ni kwa akina dada wenye nywele ndefu ziwe natural au hata 'wivingi', rasta etc.

Zingatia:
Mwenzi wako hatakiwi kuiona hiyo pini wala hatakiwi kujua kama unatumia hii mbinu.

NB: huu sio uchawi na wala haihusiani na ushirikina bali ni urithi kutoka kwa bibi zetu.
Proudly African.

adios....amigo.

Safety_Pin.jpg

sasa kama wangu anapenda kuchezeachezea hii minywele wakati wa mechi sindio mwanzo wa kuumbuka sasa
 
sasa kama wangu anapenda kuchezeachezea hii minywele wakati wa mechi sindio mwanzo wa kuumbuka sasa
Unampa kwa style ambayo mikono yake itakuwa si rahisi kuzifikia nywele zako.
 
si tunaenda kufanya jaribio au?
ili tupate jibu kama kweli,njoo na pini bana!!
Kudadadeki, ushaanza kunipa mizuka, nina swali kwa Ndibalema, vipi nikishusha ile konyagi kubwa inaruhusiwa kuendelea na jaribio,
Maanake nikipigaga nyagi hadi huwa ninawahurumia wanawake, mziki wake unakuwaga umetulia.
 
Back
Top Bottom