Kudadadeki, ushaanza kunipa mizuka, nina swali kwa Ndibalema, vipi nikishusha ile konyagi kubwa inaruhusiwa kuendelea na jaribio,
Maanake nikipigaga nyagi hadi huwa ninawahurumia wanawake, mziki wake unakuwaga umetulia.
Unampa kwa style ambayo mikono yake itakuwa si rahisi kuzifikia nywele zako.
Teh teh teh, naomba kuuliza, hiyo avatar vipi? Manake naiangalia halafu naanza ku imagine matukio jinsi ntakavyokuwa nakubinua juu juu.
kama ni hivyo haina haja ya pini
hahahaaa!!c unajiweza ukitupia nyagi tu!!
There you are!pini zinaka kazi nyingi nilifikiri za kufunga vyupi zikikata lastiki
Binafsi mi sipendagi mwanamke mwenye wigi,nikiwa nae napenda awe na rasta wigi hanivutii kabisa,napenda natural rasta....mawazo tu,ili nipate imagination yake yeye mwenyewe sio ya wigi.
leo mmeanza na pini kwenye nywele
kesho utasema aweke sindano chini ya mto
kesho kutwa mtasema aweke paka chini ya kitanda
sinayofuata huyo binti atajikuta ameshakuwa mganga wa kienyeji
Kudadadeki.
Sema mimi waume zangu wana Nguvu za simba.
Teh teh teh, naomba kuuliza, hiyo avatar vipi? Manake naiangalia halafu naanza ku imagine matukio jinsi ntakavyokuwa nakubinua juu juu.
Teh teh teh, lakini avatar inawakilisha mtu, si eti?
hahahaaaa!!una balaa
kweli wewe,utakibinua kiavatar o??hahaa!!
​Hahahaaaa!!mi nina sura ya zombie ujue!!Teh teh teh, lakini avatar inawakilisha mtu, si eti?
Aaaah!, hamna bhana, najua utakuwa cute, halafu nina muda mrefu sija do, kila nikijaribu ku seduce napigwa kibuti, ni PM basi eeeh!!!!.​Hahahaaaa!!mi nina sura ya zombie ujue!!
​shindwa pepo hahahaaa!!Aaaah!, hamna bhana, najua utakuwa cute, halafu nina muda mrefu sija do, kila nikijaribu ku seduce napigwa kibuti, ni PM basi eeeh!!!!.