Akina dada mnaijua tekniki hii?

Akina dada mnaijua tekniki hii?

mtoa taarfa bila shaka kafungua duka la pini sasa anatafuta promo
 
Mliojaribu leteni majibu jamvini ili tujue kama kuna ukweli au ni mithiri ya uchawism.
 
mmmmmh wakuu mambo gani haya?
mi mwanabiologia cafk swala hl kabxa labda shemeji yenu anichezee haka kamchezo
 
mmh! we mtoa mada, je mschana utamu ukikolea asahau kama aliweka pini si wanaweza kuumia coz wanaweza kusex hata siku mbili bila kupumzika hadi wakafia kwenye vikojoleo?
 
Duh... Imani si mchezo... Nimekumbuka historia ya vita vya majimaji... Jamaa waliamini risasi zingegeuka kuwa maji...
 
Back
Top Bottom