Akina dada mnaijua tekniki hii?

Akina dada mnaijua tekniki hii?

Kama Boy friend/Mumeo anatatizo lifuatalo huu ni ufumbuzi wake.

Mnapokuwa faragha wakati wa majamboz boy friend/mumeo ana tatizo la kuwahi kumaliza kabla hata wewe hujafika hata robo ya 'safari'?

Mbaya zaidi wengine hutumia chini ya dakika tano(5) na akishamaliza hana 'mzuka' tena.

Ufumbuzi.

Dadkika chache kabla hamjaanza majamboz, tafuta pini(exactly iwe dizaini kama hiyo pichani).
Ibane kwenye nywele zako(za kichwani), hakikisha mwenzi wako haioni.
Kisha anzeni majambozi.

Nakuhakikishia mtapiga gemu na jamaa hatofika ila ataendelea kuwa fit mpaka utakapoitoa ile pini ndipo 'atamaliza'

So kazi itakuwa kwako mwanadada kwani pini yako ni kama remote control yako, ukitaka amalize unaitoa pini yako ukitaka aendelee hata kwa masaa matatu mfululizo unaicha tuu pini.

Kumbuka.
Hii ni kwa akina dada wenye nywele ndefu ziwe natural au hata 'wivingi', rasta etc.

Zingatia:
Mwenzi wako hatakiwi kuiona hiyo pini wala hatakiwi kujua kama unatumia hii mbinu.

NB: huu sio uchawi na wala haihusiani na ushirikina bali ni urithi kutoka kwa bibi zetu.
Proudly African.

adios....amigo.



Safety_Pin.jpg

Mie zangu za kipilipili hazina dawa sasa naomba nijaribu na wewe.alafu ntakuja kuleta jibu hapa JF.
Maana nina wasiwasi na hili bana.
 
:confused2: mmmmh acha niifikirie leo naifunga vipi huko nyuma ya nywele hiyo pini. maana nmesuka yeboyebo ntaiingizaje?
 
Sa pin inahusika nini na hayo yote unayo ongea, hivi wewe unadhani kila binadamu ni kichaa :biggrin1:
 
Hata mie sina nywele, itabidi ninunue wigi kwa ajili hiyo tu.....
nikitaka ku do natupia wigi!!!!

duuuh!hlo nitalifanyia kazi leo nione kama kweli

sasa ninyi mlioenda kujaribu njooni na majibu hapa, kama inafanya kazi mie na print nampa mupenzi asome, kisha namwambia ebu ni control masaa mawili then achia, akikisha cjui..
 
mbona hakuna fidibaki? jamani tekiniki hajafanya kazi?
 
Hebu tupeni majibu mliojaribu hii teknick....
 
Back
Top Bottom