Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

Akina dada mkishazitumia pads chomeni moto

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,263
Mtu ni afya. Bila shaka sio peke yangu ambaye nimeona huko vichochoroni pedi zilivyo zagaa na isitoshe tunaelekea kipindi cha mvua. Tunawaomba chonde chonde mkishazitumia basi zichome moto. Utakuwa umesaidia kwa kiasi fulani kuweka mazingira safi.

Ila msitupe kwenye masink ya choo sababu yataziba.
cloth_menstrual_pad_2.jpg

 
we unaona watumie dawa kunyausaha ama watumie tishuuu
 
Kwa kweli hata mimi nakereka na hili sijui hawaonagi haibu?
 
Kuna wengine wanatafuta hizo kitu kwa matumizi ya kishirikina.oohh mi sipati mtoto kumbe ulizitupa mwenzio kafanyia mambo.endeleen tu
 
hawazichomi sababu ya imani zao. Kuna kitu kibaya wanakiamini kitawatokea wakizichoma,subiri waje
 
Kwa kwel imekuwa kero weng wao wanaona haibu hayo nimaumbile onatakiwa muyaku nali
 
yaani kweli kabisa Mi pedi imezagaa sana Kitaa hadi kero....
alafu muda mwingine watoto wanachezea....aaaaaaaaaagh
Ptuuuuuuuuuuu...
 
Pedi na choo cha kuvuta/cha maji ni tofauti. Choo kinaziba mara moja!
 
Back
Top Bottom