TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Ni kweli walikuwa wanapewa. Utake usitake!utasikia:, walibya walikuwa wanapea dola
Ni kweli walikuwa wanapewa. Utake usitake!utasikia:, walibya walikuwa wanapea dola
Kwani ni uongo mzeelibya imeshakuwa reference ya kila upuuzi unaotaka kuharalishwa.
mtu aliyeko namtumbo ndiye alinaejua asali ya libya ila mkaazi wa benghazi hajui chochote kuhusu hiyo asali.
utasikia:, walibya walikuwa wanapea dola milion 100 wakitaka kuoa🤨🤨
Hawa watu ni wa hovyo sana mkuuItakuwa alimuharibu mahali aseme tu au ndio wale waliotaka kupanuliwa
Hakika aliharibu mpaka tukakosa huduma za jamii Kama maji na umeme wa uhakika na alijaa porojo na kutaka masifa Ila Sasa alieko ndio ameikomboa sana nchi yetu kwa Sasa huduma zote muhimu zimetamalaki na wananchi tunayo maendeleo ya watu yamajaa tele.Tanzania haijawahi kupata Rais muharibifu kama Hayati Magufuli.
Vipi we unainjoy hali ya sasa ukitaka kwenda saluni hamna huduma inakupasa uvae kofia tu!Ndio kusema kipindi cha jiwe watu walikuwa wanakula mazima na asali?
Embu toa uharo wako hapa
Tunafaidi sana wanateseka sukumagang sisi chagagang tunakula mema ya nchi, yaani mama anaupiga mwingi.Sana!
Unaonaje mnavyopata umeme na maji kwa uhakika huku gaidi akiwa jela?
Kuna sababu ambazo zilipelekea hayo! Huwezi kuendesha kiwanda bila kufuata utaratibu kodi lazima ilipweAlikuta sukari 1800 je Wakati anaondoka kaacha sh ngap kwa kilo?
Vipi kuhusu Cement kaikuta sh ngap na kaiachaje?
Mafuta ya kula je?
Kiufupi ndani ya utawala wa CCM wote ni walewale wanatofautiana muda tu
Ndio maana unaamini umasikini wako utatokomea siku Lisu akiwa rais!ni bora nisijue chochote kulikokuwa kapu la kupokea kila takataka.
na zaidi unachokijua wewe hakijawai kuwa hata na karibu na ukweli.
libya imeharibiwa na mtu mmoja mpuuzi kama nyie.
nitake nisitake nini? acha utoto, hatuchezi kombolela hapa.Ni kweli walikuwa wanapewa. Utake usitake!
libya imeshakuwa reference ya kila upuuzi unaotaka kuharalishwa.
mtu aliyeko namtumbo ndiye alinaejua asali ya libya ila mkaazi wa benghazi hajui chochote kuhusu hiyo asali.
utasikia:, walibya walikuwa wanapea dola milion 100 wakitaka kuoa
umasikini wangu utoondoka siku blacks wote tukirejeshewa akili zetu zile za kujenga mapramidi, sio Lissu kutawala ama Jiwe kuua watu ili ajenge flyover za pesa za mikopo.Ndio maana unaamini umasikini wako utatokomea siku Lisu akiwa rais!
Ha ha ha haaa!nitake nisitake nini? acha utoto, hatuchezi kombolela hapa.
Dollar Milion 100 hapawi mtu kwasababu mimi sitaki ama nataka.
KAMA WENYE AKILI NI AINA YAKO BASI HAKUNA WENYE AKILI! WENGINE TUNAWAONA NI VICHAA TU KAMA YEYE MWENYEWE ALIVYOKUWA ANAJIITA.Salama humu,
Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!
Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.
Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.
Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.
Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.
Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!