Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

Salama humu,

Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!

Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.

Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.

Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.

Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Uko sahihi sana mkuu,Familia kwanza
 
Hakika aliharibu mpaka tukakosa huduma za jamii Kama maji na umeme wa uhakika na alijaa porojo na kutaka masifa Ila Sasa alieko ndio ameikomboa sana nchi yetu kwa Sasa huduma zote muhimu zimetamalaki na wananchi tunayo maendeleo ya watu yamajaa tele.
Ameharibu sana mpaka ukame ukamuogopa, njaa ikamuogopa, ujinga ukamuogopa, Sasa Giza, ukame, njaa vimerejea mahali pake panapotustahili sisi wananchi wajinga.
Umesahau kuzungumzia na hali ya usalama wa watu,sasa hivi tunakabwa saa 2 tu wakati wa enzi zake mambo ya kukabwa tuliyasahau
 
Duh!Kwa hiyo alikuwa anafanya ulinzi hadi kwa mtu mmojammoja msikabwe?Kiboko.Muwe mnawahi kurudi mapangoni kwenu.😂😂😂
 
Kakuchukiza kipi hapo mkuu?
Hajanichukiza, Kwa maana ya kuichukulia hoja kibinafsi. Amejitambulisha na kundi la wenye akili halafu akatumia statement isiyo na akili (idiotic) kujenga hoja. Kama kuna chuki nimeonyesha, ni kwenye idiocy, na watanzania wengi tuna hulka ya kuongea vitu ambayo kwa juu juu unaweza ukadhani ni vya busara kumbe ni upuuzi.
Kipimo cha ubora wa mtu kikiwa ni jinsi gani anatunza watoto wake tu, haijalishi kama ni jambazi, hao watoto wake hawatafurahia sana kabla ya kukutana na panga la baba wa jirani akiwa kwenye harakati za kujali wanae. Idiocy. Kuna upuuzi mwingine nauona humu ndani siku mbili hizi wa kufanya ulinganishi wa uongo, kwamba kwa kuwa ukionyesha ubaya wa X, unamfanya Y kuwa mzuri, mlinganisho unaokiuka mantiki ya kawaida tu.
 
Calling him "a ruthless assassin" - can you back this claim with reliable evidences?

Can you mentioned any person that had been assassinated by Magufuli and deliver us, with convincing evidences, from these fallacious theories?
The Prosecution of Sabaya was just a tip of the Iceberg. Weeks to come with Makonda you'll see a barrage and mountains of evidence flooding courts and international media, then you'll realise that the Legacy of your sunken ship cannot be salvaged.

Mark my word.......
 
Salama humu,

Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!

Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.

Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.

Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.

Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Tunawasubiri kwenye 18,wataelewa maana ya mparaganyiko na maana halisi ya mparaganyiko wa mipango kafiri,tuko wengi mno kwa sasa
 
Kosa la hayati ni kuwaponda ponda wapinzani na kufikiri wana CCM ni wema, sasa hata mwaka haujakatisa tayari hao hao wana CCM washaanza kumponda waziwazi.

Pamoja na mabaya yote ya hayati aliyowafanyika ila wapinzani kupitia Lema wamesimama na kumtetea kuhusu hili la umeme.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
The Prosecution of Sabaya was just a tip of the Iceberg. Weeks to come with Makonda you'll see a barrage and mountains of evidence flooding courts and international media, then you'll realise that the Legacy of your sunken ship cannot be salvaged.

Mark my word.......

You never answered any of the questions asked.
Calling him "a ruthless assassin" - can you back this claim with reliable evidences?

Can you mentioned any person that had been assassinated by Magufuli and deliver us, with convincing evidences, from these fallacious theories?
 
Salama humu,

Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!

Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.

Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.

Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.

Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!

Tusubiri tu, tutaanza kuelewa hatua kwa hatua. Tutalia na kusaga meno, lkn hakuna atakaye tusikia.
 
Back
Top Bottom