Akataliwa kupanda ndege kutokana na kuwa na matiti makubwa

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,547
Mwanamitindo maarufu instagram kama @leavemaryalone amechukua headlines mara baada ya kulalamika kufanyiwa kitendo cha kutolewa na kushushwa kwenye usafiri wa ndege kutokana na ukubwa uliopitiliza wa maziwa yake yanayo kadiriwa kuwa na uzito wa kg 10.

1654259808419.png

Mwanamitindo huyo Mary Magdalena' amefanya upasuaji wa kuongeza ukubwa wa maziwa yake, makalio, lips pamoja na maeneo mbalimbali katika mwili wake jambo lililofanya kupata muonekano wa tofauti, tayari mwanadada huyo ameahidi kuwapeleka mahakamani wahusika wa ndege hiyo kwa tukio hilo.

1654259856971.png
 
Huwa nikikosa kazi najifunza kuchora, nikawa nahisi huwa nachora sura za kufikirika kutokana na kwamba sio mchoraji hata kidogo. kuna watu huwa nawapatia sura zao
 
Watu Wanahangaika Sana Yaani Kaongeza Matiti, Makalio, Lips, Wanayaweza Sana Haya Mambo

10kg seriously
Kuna watu wana moyo.
Acha tu niridhike na hili shape langu lakabati.
Hayo matiti au mzigo
 
Huwa nikikosa kazi najifunza kuchora, nikawa nahisi huwa nachora sura za kufikirika kutokana na kwamba sio mchoraji hata kidogo. kuna watu huwa nawapatia sura zao
Mkuu hata mimi hili nimeshaligundua,zamani nilikuwa nawacheka ambao hawajui kuchora lakin bhana baada ya kutembea tembea sana nimeshaona watu wanaofanana na ile michoro ya watu wasiojua kuchora
 
Back
Top Bottom