Akamatwa akiuza nyama ya mbwa!

Wana JF kati ya sisi ni nani hajawahi kula mbwa labda kama ni veg. maana kila mahali wanauzwa siku hizi hasa mabucha ya uswazi maana huko hakuna ukaguzi

mi hapa sibishi....tena hata kapaka nahisi nshatafuna....kama sio sambusani, basi ni kababuni.....
 
Nyamanyamanyama
Nyama!
nyama ya kuku
Nyama!
Nyama ya mbwa
Nyama!
Mnashangaa nini? Mbona sisi wahehe tumenyamaza huku mkijua kuwa mbwa kwetu ni kitoweo safi na kwamba tuko mbioni kuanzisha chuo cha ufugaji na upikaji mbwa ili tupate soko la nje na ndani kwa wahehe wote na rafiki zao wachina kwa manufaa ya afya na taifa kwa ujumla. Tunawakaribisha wote wala nyama tuungane na kusema hadharani kuwa twatumia nyama hii adhimu kwani mmekuwa mkiitumia bila kujua!
 
Makubwa!
Auwawe pumbavu huyo!


Wewe koma we
, kama unajua kuua naomba uanze na hawa waliogawana mamilioni yetu kupitisha bajeti. Tena huna hata aibu kuwawazia mabaya watu wanaokujali kukupatia diet mbadala, loh!
 
Mbona hii mboga kwetu ni halali? tena ukiunga na nazi mwitu we acha tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom