Ruvuma: Akamtwa akiuza nyama ya mbwa.

Ruvuma: Akamtwa akiuza nyama ya mbwa.

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,565
Reaction score
28,472
‎‬Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mkazi wa kijiji cha Mbangamawe, kata ya Gumbiro, wilayani Songea kwa tuhuma ya kukutwa akiuza nyama ya mbwa na kwamba kuna baadhi ya wateja wake wamekula bila kujua…”

uploadfromtaptalk1452791868672.jpg



Chanzo:EATV
 
Kwani nyama ya mbwa imepigwa marufuju hata wakamatwe?
 
Huyo jamaa wampeleke Mahakamani, maana mpaka kufikia kumkamata alishauza nyama ya mbwa zaidi ya mara ngapi.
 
Back
Top Bottom