Ahukumiwa kwa kuuzia watu nyama ya mbwa Lushoto

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,390
24,954
Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Zackaria Mswaki amehukumiwa na mahakama ya mwanzo Mlalo Lushoto mkoani Tanga kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa akiuza nyama ya Mbwa ambapo asilimia kubwa ya watu katika mji huo mdogo uliopo wilaya ya Lushoto walinunua nyama hiyo na kula bila wao kujua.

Mshtakiwa amekiri shtaka mbele ya mahakama na kudai ugumu wa maisha ndio chanzo cha kufanya hivyo.Mshatakiwa amepelekwa Gereza la wilaya Lushoto kutumikia adhabu yake huku akiwa amewaacha wananchi wa mji huo na butwaa pamoja na hasira ya kuwalisha nyama ya mbwa.
uploadfromtaptalk1464771291997.jpg
uploadfromtaptalk1464771301405.jpg
 
Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Zackaria Mswaki amehukumiwa na mahakama ya mwanzo Mlalo lushoto mkoani Tanga kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa akiuza nyama ya Mbwa ambapo asilimia kubwa ya watu katika mji huo mdogo uliopo wilaya ya lushoto walinunua nyama hiyo na kula bila wao kujua.

Mshtakiwa amekiri shtaka mbele ya mahakama na kudai ugumu wa maisha ndio chanzo cha kufanya hivyo .

Mshatakiwa amepelekwa Gereza la wilaya lushoto kutumikia adhabu Yake huku akiwa amewaacha wananchi wa mji huo na butwaa pamoja na hasira ya kuwalisha nyama ya mbwa.

Sent as received via WhatApp!

View attachment 352642View attachment 352643
Duhh yaani huyo jamaa akitoka jela ahame jamaa wanamtamani sana
 
Wavimba macho hakuna lushoto? Wangemtetea kwani Ni chakula Chao kikuu
 
Nyama ni nyama tu, haramu jina, kwani haiivi? ukikaanga haikaangiki? ukiweka kwenye pilau hailiki? ukitengeneza supu inanuka? hata hiyo adhamu haina mashiko kabisa ndo maana kapigwa mwaka mmoja ili kuwaridhisha wananchi lakini kulikuwa na uwezekano wa kuachiwa huru kabisa. Huyo kosa lake ni kuuza nyama isiyopimwa na kutokuwa na kibali basi.
 
Hahahaha Cc Mbulumundu Chilisosi la Uingereza
 
Nyama ni nyama tu, haramu jina, kwani haiivi? ukikaanga haikaangiki? ukiweka kwenye pilau hailiki? ukitengeneza supu inanuka? hata hiyo adhamu haina mashiko kabisa ndo maana kapigwa mwaka mmoja ili kuwaridhisha wananchi lakini kulikuwa na uwezekano wa kuachiwa huru kabisa. Huyo kosa lake ni kuuza nyama isiyopimwa na kutokuwa na kibali basi.
:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom