Akamatwa akiuza nyama ya mbwa!

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kijana mmoja huko mkoan singda amekamatwa akiuza supu ya nyama ya mbwa kwenye klabu m0ja ya pombe za kienyeji,kijana huyo aliwazuga wateja wake kuwa ni supu ya mbuz,ila badae walimshtukia
sosi;nipashe
my take,JUZ NILIRIPOT JUU YA YULE MDAU ALOKUA ANAUZA VIBUDU VYA KUKU,TUWE MAKINI WADAU
 
kama hao mbwa anawachinja basi sioni tatizo! Lakini kama hao mbwa anachukua waliokufa basi hapo kuna tatizo!
 
Huyo Mkaka anaitwa Abdala na kwanza anastahili kupigwa mawe kabisa kwa sababu mbwa ni haram!
 
Kula mbwa sio taabu, mbona huko kwa watani zangu Iringa wanakula? Ila kama hakuchinjwa hapo ndo kazi....namaanisha ikiwa huyo mbwa alimuokota tu akiwa amekufa tayari....sie wakristu hiyo basi haramu!
 
Mbwa mbona hata buchani wanauzwa?unakatiwa steki za ng'ombe/mbuzi nusu na mbwa nusu!ukifikiria sana hutanunua nyama!kula nyama usiwaze ni nyama ya nini.
 
Mi kuna siku moja nilikula wali-nyama kwa mama ntilie mmoja Iringa.Ile nyama flavour na smell yake ilikuwa haieleweki kabisa.Mara kwa mbali kama mbuzi vile,mara kiharufu cha kitimoto mara ladha ya kuku hivi,tukimuuliza hii ni nyama ya nini yeye anajibu kwamba hajui chochote ila alimtuma mtu akamnunulie nyama ya ng'ombe Mafinga.
 
habari hii imenifurahisha sana, lakini sio issue kubwa sana, kwani nyama ya mbwa ni kama nyama zingine tu wadau. Kumbukeni chakula ni utamaduni na POLISI wanajua hilo ndio maana jamaa hatapelekwa mahakamani bali nyama ile itachunguzwa kama inafaa kwa matumizi ya binadamu, kama vile auzaye nyama ya cow kinyume na taratibu ni lazima nyama hiyo ichukuliwe kama inafaa kula.
 
Wana JF kati ya sisi ni nani hajawahi kula mbwa labda kama ni veg. maana kila mahali wanauzwa siku hizi hasa mabucha ya uswazi maana huko hakuna ukaguzi
 
Teh! teh! teh! Usikute wateja wa kwanza waliokula hiyo supu waliomba na limau, pili pili na chumvi kidogo!
 
ni nani alianzisha mtindo wa Kula Mbuzi na sio Mbwa? how did it start?
 
Watanzania waoga wa mabadiliko nyee, yaani mabadiliko kidogo tu kwenye diet manung'uniko kibao, khaa!

Kutro mbona safi tu, ila kwa mshikaki ndio hafai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom