AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

sema tu kama lugha ya malkia ni tatizo kwako...mbona dogo katambaa fresh tu na kiswanglish chake...tena ndo imefana haswaaa!taaaa tataraa,eeeeh!
 
[Verse 1 – AKA]
Sweet something you all I want
Can’t tell me nothing stole my heart
Praise God that He made you
See nobody, nobody replace you
So tell me have you seen her
African queen, number one diva
Shake your bidi bum thing, when I pump speaker
Don’t you know we run things in a Tanzania

Oh ta ta ta tara
Ta ta ta tarara (tarara)
Ta ta ta tara (tata rara)
Nta nta nta ntara rara

[Chorus – Diamond Platnumz]
Oh mama you gon’ make me sing
Ta ta ntara (ona naimba)
Uh ta ntara (giving thanks and pray)
Ta ta ntara (feeling your embrace)
Uh ta ntara (you’re my everything)
Ta ta ntara (one and only queen)
Uh ta ntara (hee hee eh)
Ta ta ntara (oh oh oh)
Uh ta ntara (any time and any place)

[Verse 2 – Diamond Platnumz]
When I’m looking to your eyes
Furaha yangu naiona
Pressure unani-minimize
Napougua napona (ni wewe)
Ananichanganya (ni wewe)
Asi kwa chanya (ni wewe)
Anaenichanganya (ni wewe)
Shibe yangu mama (ni wewe)
Eh hee hee, hivyo hivyo
Hivyo chunga tusije tengana
Hivyo hivyo
Taratibu tutafika mama
Na ngoma yako isakata
Nakoma dance ukikata
Sangoma wa nini nshanasa

[Chorus – Diamond Platnumz]
I swear you de make me sing…
Ta ta ntara (singing everyday)
Uh ta ntara (giving thanks and pray)
Ta ta ntara (feeling your embrace)
Uh ta ntara (you’re my everything)
Ta ta ntara (one and only queen)
Uh ta ntara (hee hee eh)
Ta ta ntara (oh oh oh)
Uh ta ntara (any time and any place)

[Verse 3 – AKA]
We… fresh and clean, you want something
Then chop my money oh
Ah yeah, no long team I invite you to my bedroom party oh (ah yeah)
Take a shot and pop the bubbly
Glass is up you got to love me
Ah, break it down we de make girlem sweat like cardio
Aah!
You de queen of my kingdom
Number one in a million
Bout time I put the ring on
Bad girls got their eyes on my income
No stress or drama
Jah bless, asante sana
Give thanks to God for my queen love
Dar Es Salaam put your drink up

Ta ta ta tara (tarara)
Ta ta ta tarara (tata rara)
Ta ta ta tara, oh yeah

[Chorus – Diamond Platnumz]
Oh ma you de (gon) make me sing
Ta ta ntara (singing everyday)
Uh ta ntara (thanks and pray)
Ta ta ntara (feeling your embrace)
Uh ta ntara (you’re my everything)
Ta ta ntara (one and only queen)
Uh ta ntara (hee hee eh)
Ta ta ntara (oh oh oh)
Uh ta ntara (any time and any place)

[Outro – Diamond Platnumz]
Any time and any place
Singing everyday
Giving thanks and pray
Feeling your embrace
You’re my everything
One and only queen

Lyrics hizi hapa maana tusitoke nje ya mada najua umeongea bila kusoma lyrics,kelele zetu kua skeleton ya video bora sisi tunaamini inatokana na maudhui ya wimbo aya turudi bank na uporaji sasa acha nadharia zako,wakikosea tuwakosoe wakipati tuwasifie.
"Ni fasihi zaidi kuliko inavyoonekana" nimekunukuu,ivi juzi hapa si tumemtukana AJ kisa kasema video ya Kiba ni fasihi zaidi tukasema haiendani na wimbo leo vipi tena,weka mambo yao/yenu ya timu pembeni angalau kidogo tujadili muziki alafu nenda kaangalie video ya lil' Wayne ft T Pain-Got Money uje na maelezo ya kutosha,Godfather angeweka mikono kwenye hii joint ingekua ya kutisha sitaki kuzungumzia audio maana wadogo zetu uko wako vibaya wanakomaa na vichupa tu.
 
 
w
Ah umeanza Lini kumjua AKA na cassper nyovest.? Chanzo cha bifu je unakijua.? Aka namfananisha na kiba kinachomponza ni dharau na majivuno cassper anajua ila kuna vitu anafanyaga ndo maana s.a artist wengi hawamkubali
hivi unanifahamu au unanisikia, ah ah ah ah ah
 
Make me Sing 21hours 143k
Lupela 5days 418k

Hopefully by 24hours au a day Make me sing itakua 145k. For 5 days itakua 725k
725k
-418k
307k tofauti yetu
 
Bansen15316607 said:
Make me Sing 21hours 143k
Lupela 5days 418k

Hopefully by 24hours au a day Make me sing itakua 145k. For 5 days itakua 725k
725k
-418k
307k tofauti yetu
Kwa hiyo ndio inaifanya kuwa ngoma Kali!? Naona ushabiki umekuwa juu kuliko ubora Wa muziki. Hivi video ndio imekuwa mziki mzuri au!? Maana sielewi!
 
Kwa hiyo ndio inaifanya kuwa ngoma Kali!? Naona ushabiki umekuwa juu kuliko ubora Wa muziki. Hivi video ndio imekuwa mziki mzuri au!? Maana sielewi!
Utaelewa tu!! Wait and see..
 
Mosi, hakuna suala la kutoka nje ya mada! Pili, bora umesema wazi kwamba "nyinyi mnaaamini kwamba video inatokana na maudhui....!" Sasa unless kama unataka na mimi niseme kama "mnavyoamini nyinyi!"

Sasa nirudi kwenye mada.

Jukwaa hili hili December 27, 2014 kuhusu video ya Mwana ya Ali Kiba nilisema:
December 27, 2014 hadi leo zaidi ya mwaka mmoja umepita na kuhusu video ya Diamond nimesema:
Kwanza, story line sio lazima ingawaje ni kweli pia watu wanapenda video zenye story line! Tatizo la Kiba sio video kukosa story line bali kukosa sanaa ndani yake!
Msisitizo kwenye RED & BLUE!!! Kwahiyo hapo utaona nilichosema dhidi ya video ya Diamond leo ndicho hicho hicho nilikisema dhidi ya Kiba zaidi ya mwaka mmoja uliopita kwahiyo hapo hakuna suala la u-Team!

Sasa tatizo lako wewe na wengine, unataka mtu akiimba "nikinywa maji nakuona kwenye glass" ndo basi tena unataka ionekane glass yenye picha ya mtu ndani yake. Sasa hiyo itakuwa ni kuzigeuza lyrics kuwa movie/video script!!! Naweka kumbukumbu sawa; hakuna dhambi kutengeneza story line lakini vile vile hakuna dhambi kutokuwa na story line basing on lyrics. Video script writer anaweza tu kuusikiliza wimbo mwanzo mpaka mwisho mara nyingi awezavyo kisha ana-develop theme! Story line atakayotengeneza itatokana na hii theme ambayo amei-develop na sio kugeuza mashairi kuwa ndio story line yeneyewe! Sasa ukiangalia Make Me Sing mwandishi alichoangalia ni kwamba wimbo unamzungumzia "my everything" wa mtu! Aka-develop maudhui ya namna gani mwanaume anakuwa tayari kwa lolote kwa "my everything" wake. Hapo akatumia robbery kuwasilisha message ya vile mtu alivyo tayari kwa lolote! Hata hivyo, kv ni sanaa mwandishi aka-conclude nini mwisho wa yote hayo! Umefanya tukio wajomba wakakuotea "my everything" wako mwenyewe ukamwacha!!!

Lakini kwa upande mwingine suala la story line works better kutegemeana na mashairi wa wimbo wenyewe! Kama umeisikiliza Utanipenda, just kwa mashairi yake tu unaweza kumsimulia mtu na akakuelewa! Yaani mashairi peke yake yanasimama kama hadithi na unaweza kutengenezea hata movie (sio video). Mfano mwingine ni Starehe. So, kwa mashairi kama hayo ndipo idea ya story line inayoendana na mashairi ya wimbo ina-work better!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…