Joseph midimu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2024
- 234
- 428
Sio ivyo,, nahitaji kujua kwa kina kwanza....Ajiriwa
Kuna kukatwa,, tena.?Expenses kubwa kuliko income bado madeni na makato kama yote! Lazima ujikute na laki kwenye akaunti!
Kwahy ukiingia tu,, kwenye ajira maisha yanapanda bei.?Maisha kupanda bei,mikopo,familia,michepuko na marafiki,
Ahahahaha! - nifundishe nisije nikakosea kama ww😀Umri wako bado mdogo sana kijana.
Maisha sio rahisi kama unavyo dhania.
Wengine tunatamani kurudi utotoni ili tushi bila stress.
Kuwa uyaone mwanangu..
Kama hauna,, marafiki & starehe nyingi unaweza toboa.?Hizo hesabu zako hujatoa daily, weekly, monthly expenses.
miksa mambo ya kuji furahisha, furahisha roho na jamii.
Earth ain't easy for a simple soul
Depends kama mkopo bado nssf sijui bima lol 😂Kuna kukatwa,, tena.?
Anha!,, kwahy unatakiwa uwe na kikazi cha ziada.?Kama kazi yako chanzo pekee cha mapato ukiwa kazini ni mshahara, basi lazima utaishi maisha magumu tuu.
Raha ya kazi ni deals, posho, bonus na upigaji wa hapa na pale nje ya mshahara.
Piga hesabu ya Hakimu wa mahakama ya mwanzo, anakoje hela pale kila siku. 😁
Ndio maana unaona walimu life yao ngumu, hakuna mianya. Ni chaki tuu, labda uuze mandazi.
hao wanaweza wasi changie matumizi yako, ila familia yenu, mtazamo wako uka kukwamisha.Kama hauna,, marafiki & starehe nyingi unaweza toboa.?
Duuh!,, ukikopa si ndy unajiingiza kwenye kutumika deni miaka mingi😀Kama umemaliza tu chuo ukiwa na miaka 22 huna familia na wazazi hawakutegemei na ndugu ulionao wapo kazini ukapata hiyo ajira ya 800K labda hizi hesabu unaweza ziwaza.
Nje ya hapo subiri ukope 200M kwenye mfumo wa ESS
Maisha hayana formula, kuzaliwa familia inayo kutegemea sio mpango wako.Ahahahaha! - nifundishe nisije nikakosea kama ww😀
Mm sikufichi,, mzee wangu ni mwalimu wa sekondari lakini tunashindiaga uji nyumbani...hao wanaweza wasi changie matumizi yako, ila familia yenu, mtazamo wako uka kukwamisha.
kibongo bongo lazima uongeze ka shughuli kengine ka mapato, incase ukioa, dharura za kuumwa, majanga ya moto, kuibiwa au kesi.
Hee,,😀 na ukiwaambia mm nitoleeni hii mifumo ya bima siuguagi ovyo🤣Depends kama mkopo bado nssf sijui bima lol 😂
Achana na mambo ya mzee wako, hapo ni kwake anajua namna ya kupaendesha.Mm sikufichi,, mzee wangu ni mwalimu wa sekondari lakini tunashindiaga uji nyumbani...