Ajira zinavyoua vipaji vya kujiajiri

Ajira zinavyoua vipaji vya kujiajiri

mkuu mimi pia nimevutiwa na hii story hebu ongeza ongeza nyama basi kwenye hiyo aina ya biashara ambayo kwa mwezi mtu anaingiza sh 1.5 m , ningependa kufahamu hii biashara huyo mdogo wako alikuwa anaifanyia mkoa gani ? .
Sio biashara moja alikuwa nazo tatu lakini alisimamia kwa ukaribu.
 
Hilo la mshahara hata mimi sijui kama alikuwa anajua, biashara aliweka msimamizi zikawa hazilipi vizuri vizuri, akafunga.
Ni vizuri ujue maslahi ya kazi kwanza kabla ya kuanza. Hii itasaidia kufanya uamuzi wa busara.

Pole kwake dogo ajipange aamke tena, kujikwaa si kuanguka
 
Mtaji wake ulikuwa shilingi ngapi kupata faida ya 1.5 M kwa mwezi? Je huo mtaji aliupata wapi? Je huo mtaji ataulipaje? Kwa nini aliacha kujiajiri na kwenda kuajiriwa? Je kuna ukweli hapo?
Mimi mwenyewe nayapima, naona hayapimiki,
Maana kupata faida ya 1.5M kwa biashara baada ya kutoa gharama zote, yaani pango, kodi, bill za umeme, usafiri, na mengineyo,
Hiyo sio biashara ya mchezo ati na wala si biashara ndogo
 
Alikujibu?

Ugumu upo wapi? Kuna watu wana mtaji mdogo sana lakini wanaingiza zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom