Ajira zinavyoua vipaji vya kujiajiri

Ajira zinavyoua vipaji vya kujiajiri

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Ajira ni nzuri lakini wakati mwingine huua vipaji vya kujiajiri.

Nina mdogo wangu alimaliza chuo mwaka 2015 akajiajiri kupitia kilimo na baadae biashara ambazo zilikuwa zinamwingizia kipato kizuri, kwa biashara zake alikuwa anaingiza zaidi ya 1.5 million kwa mwezi.

Mwaka huu ajira zimetoka akaenda kuripoti, mshahara ananiambia ni 340,000/= yaani toka kuingiza 1.5M mpaka 0.34M, yupo analialia mara anataka aache.

Wito wangu kwa vijana kama una sehemu inakuingizia kipato usikimbilie kuajiriwa, ajira zinaua uwezo wa kujiajiri zinakufanya uwe tegemezi.

Tuchape kazi.
 
Ni kweli lakini kujiajiri pia kunataka msingi japo mdogo, kama huyo alokwishakupata msingi mzuri hakupaswa kukimbilia ajira ilhali alishajua mshara wake utakuwaje
 
Mtaji wake ulikuwa shilingi ngapi kupata faida ya 1.5 M kwa mwezi? Je huo mtaji aliupata wapi? Je huo mtaji ataulipaje? Kwa nini aliacha kujiajiri na kwenda kuajiriwa? Je kuna ukweli hapo?
 
Ajira ni nzuri lakini wakati mwingine huua vipaji vya kujiajiri.

Nina mdogo wangu alimaliza chuo mwaka 2015 akajiajiri kupitia kilimo na baadae biashara ambazo zilikuwa zinamwingizia kipato kizuri, kwa biashara zake alikuwa anaingiza zaidi ya 1.5 million kwa mwezi.

Mwaka huu ajira zimetoka akaenda kuripoti, mshahara ananiambia ni 340,000/= yaani toka kuingiza 1.5M mpaka 0.34M, yupo analialia mara anataka aache.

Wito wangu kwa vijana kama una sehemu inakuingizia kipato usikimbilie kuajiriwa, ajira zinaua uwezo wa kujiajiri zinakufanya uwe tegemezi.

Tuchape kazi.
Chuo alichomaliza ni VETA..? Maana si kwa mshahara huo
 
Mtaji wake aliupata kwenye kilimo, alilima mahindi bahati nzuri yakapanda bei akapata mtaji.
Alikuwa na biashara tofauti tofauti 3 ambazo kwa siku zilikuwa zinaingiza zaidi ya sh 20000/=,
Mtaji wake ataulipaje? Hapo sijakuelewa,
 
Kuna watu wanapenda ushindani usio kuwa na maana.. achana nao..
 
Mtaji wake aliupata kwenye kilimo, alilima mahindi bahati nzuri yakapanda bei akapata mtaji.
Alikuwa na biashara tofauti tofauti 3 ambazo kwa siku zilikuwa zinaingiza zaidi ya sh 20000/=,
Mtaji wake ataulipaje? Hapo sijakuelewa,
Bado haujajibu swali
 
Najiuliza tu kwani hawezi ajiliwa na kuendeleza biashara zake...anyway kupanga ndo kuchagua...yeye pekee ndo anayejua alichokua anapitia kufikia hayo maamuzi
 
Mtaji wake ulikuwa shilingi ngapi kupata faida ya 1.5 M kwa mwezi? Je huo mtaji aliupata wapi? Je huo mtaji ataulipaje? Kwa nini aliacha kujiajiri na kwenda kuajiriwa? Je kuna ukweli hapo?
Sawa, huenda simfahamu, ila mtaji anaweza kuwa amekopa sehemu fulani, pengine aliona ajira ni ya serikalini kwahiyo kuna security kubwa kwa kazi yake tofauti na biashara ambayo mtaji unaweza kukata muda wowote, pili unaeza ku alifata kuajiriwa ili achange kupata mtaji wake usio na marejesho ya kila baada ya muda fulani
 
Ajira ni nzuri lakini wakati mwingine huua vipaji vya kujiajiri.

Nina mdogo wangu alimaliza chuo mwaka 2015 akajiajiri kupitia kilimo na baadae biashara ambazo zilikuwa zinamwingizia kipato kizuri, kwa biashara zake alikuwa anaingiza zaidi ya 1.5 million kwa mwezi.

Mwaka huu ajira zimetoka akaenda kuripoti, mshahara ananiambia ni 340,000/= yaani toka kuingiza 1.5M mpaka 0.34M, yupo analialia mara anataka aache.

Wito wangu kwa vijana kama una sehemu inakuingizia kipato usikimbilie kuajiriwa, ajira zinaua uwezo wa kujiajiri zinakufanya uwe tegemezi.

Tuchape kazi.
Wakati anaenda kuanza kazi ya ajira, mshahara wake alikuwa haujui? Biashara yake aliifunga/hakuweka msimamizi?
 
Hilo la mshahara hata mimi sijui kama alikuwa anajua, biashara aliweka msimamizi zikawa hazilipi vizuri vizuri, akafunga.
 
mkuu mimi pia nimevutiwa na hii story hebu ongeza ongeza nyama basi kwenye hiyo aina ya biashara ambayo kwa mwezi mtu anaingiza sh 1.5 m , ningependa kufahamu hii biashara huyo mdogo wako alikuwa anaifanyia mkoa gani ? .
 
Back
Top Bottom