Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,927
- 13,011
thanx kaka na Wadau wengne walionshauri kumbe nli scan na pdf ndo mana ilikua inagoma
Mkuu mbona vyeti vya shule vinazingua kuatachika!!
Cha chuo hakijazingua wala cha kuzaliwa
thanx kaka na Wadau wengne walionshauri kumbe nli scan na pdf ndo mana ilikua inagoma
Mkuu mbona vyeti vya shule vinazingua kuatachika!!
Cha chuo hakijazingua wala cha kuzaliwa
Wapendwa plz nijuzeni kidogo kola nikijaza katika kipengele cha professional qualifications haisave info plz msaada kwa yeyote alie wahi kuaply online via recruitment portal anisaidie manake sijakamilisha 70% ili nitume maombi
Je hicho kipengele cha professional qualifications unazo? Eg. CPA ...etc kama huna review your details vizuri then kuna sehemu ambazo ni mondatory zime wekewa read inawezekana ume ommit na kama huna prof. Qualifications acha itafika tu 70% na kuendelea cyo lazima review carefull ur applications details ulizo jaza!

Mkuu inakuaje kwa wale wanaijaza professional qualifications za uongo?! Tume ya Ajira inafuatilia hili swala?!!!
Unauliza ili ujaze au??? Hv unawezaje kusema nimesoma SAUT wakati hata hujasoma pale??? Wakipeleka jina lako kule kujilidhisha zen waseme hawakujui,si utakutana na pingi ofisini wewe???
Mkuu upo ndugu yangu
Mkuu inakuaje kwa wale wanaijaza professional qualifications za uongo?! Tume ya Ajira inafuatilia hili swala?!!!
Sina hakika juu ya hilo ila unapo jaza hizo kwenye prof. Qualifications ni lazima uwe ume attach na vyeti vyake sio maneno matupu!
Nipo kamanda umekuwa adimu sana humu ndani!
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ?Bila shaka jibu lako ni ndio.
Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ?Ingia kwenye akaunti yako, click My applications.Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari.Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview
HONGERA SANA:
Nyongeza plus~updated 08 May 2015. Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ?Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave.
smallpdf.com/word-to-pdf ina uwezo wa kubadilisha document yako iliyo kwenye word to pdf.
Huna haja ya kuscan barua zako za kazi.
Jaman msaada plz eti tunascan orginal or copy certificate:-/
Nipo ndugu yangu mara nyingi nakua jukwaa la uchaguzi au siasa maana nimetangaza nia mkuu wangu
Nashukuru Mungu leo nimepata mkataba wa kazi. Yaani nimemaliza hatua zote za ajira na nimeripoti kituo cha kazi.