as1987
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 1,256
- 598
Hapo kwenye red ni 'holders'
Tehe upo makin mkuu
Hapo kwenye red ni 'holders'
wakuu naomba kujua jinsi ya kuandika cover letter kwenye hii ajira portal
Unaandika barua kama kawaida kwenye word...ukimaliza unaweza ibadili hiyo barua kuwa katika pdf then unaenda kwenye portal yako sehem ya other attachment..ukifungua utaona sehemu ya barua, kisha unaattach barua yako na ikiwa tayari unasave. Nadhani nimekusaidia..
Wakuu hivi kwenye kuattach vyeti inazingua sana?
Inaload Massa!!
siku hizi wameboresha kidogo!
barua unaiattach sehemu yenye kazi husika kabla hujaconfirm, kwa mfano......!
Application Confirmation for RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT GRADE I
I declare that the information provided in my profile is complete and correct to the best of my knowledge and matches the criteria for this Post (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT GRADE I).I understand that any false information supplied could lead to my application being disqualified or my discharge if I am appointed.
Please attach your Appliation letter Here.
Cancel
Unamaanisha viwe certified? Kwenye hii recruitment portal hapana....labda uangalie tangazo linasemaje. After all kwenye hii portal unascan original certificates si kopiMsaada jaman et copy of certificate ni lazima uzipeleke mahakaman ziwe testify ndyo uapply!!?
wakuu vp kuhucu kuatach picha inakuaje!!!,??
Hiyo picha utakua umescan mkuu kwa pdf ndiyo maana inagoma,piga picha kwa format ya hzo ulizoambiwa hapo juu itakubali tu fasta.
kweli kaka kwa hyo niscan kwa njia gani?
Scan hyo picha km picha na siyo km pdf mkuu.