Ajira Utumishi - Recruitment portal

Ajira Utumishi - Recruitment portal

Mkuu napatwa na changamoto ya kubadilisha cheti pale kwenye eneo la education level. kuna document nimeiupload badala ya cheti sasa shida napata kwenye kuito hii document ili niweke pdf ya cheti. kila nikiedit nipata huu ujumbe[emoji117] "The filetype you are attempting to upload is not allowed. allowable formats ( pdf | png | jpg)" wakati cheti kipo kwenye format ya PDF.
Mkuu jaribu kufuta/kutoa na u upload upya vyote halafu angalia na size ya mb
 
Sasa jamaa unaona kabisa apo vyeti vyako havipo certified umeandika barua na bado haujasign na wanakutelekeza kabisa na problem yako uliyokuwa nayo sasa huelewi nini..??
Ndo nipe maelezo nami nielewe nakosea wapi au natakiwa kufanya nini kwn ningekuwa naelewa nisingeomba msaada
 
Huyu hayuko makini na mambo yake.
Mbona inshu ya kucertify Vyeti inafahamika sana kwa waomba ajira.

Na kaandikiwa hapo, bado haelewi.
Kuelewa naelewa ila sa sijuh hyo ishu inakuwaje...... Naomba mzoefu mmoja anipe ufumbuzi wa kutosha japo hzo hatua tulikuwa tunafanya tunavyoomba chuo
 
Mwenye uelewa naomba anieleweshe,
Mwenye uelewa naomba anieleweshe,
Pole sana mkuu
Chukua copy za vyeti pitisha mahakamani au kwa mwanasheria asaini na kugonga muhuri then scan na uviweka ambayo havina muhuri wa akimu au mwanasheria vifute
Pia barua uwe unachapa na kuprint then unaisaini then una scan na ku upload fanya hvi kila unapoomba nafasi ya kazi kwa upande wa barua
 
Asante mkuu nashukuru nimekuelewa, kwani sijawah kufanya hvyo na nilikuwa sijuh
 
Pole sana mkuu
Chukua copy za vyeti pitisha mahakamani au kwa mwanasheria asaini na kugonga muhuri then scan na uviweka ambayo havina muhuri wa akimu au mwanasheria vifute
Pia barua uwe unachapa na kuprint then unaisaini then una scan na ku upload fanya hvi kila unapoomba nafasi ya kazi kwa upande wa barua
Lakini pia Barua ukiandika vizuriiii kwa mkono haikataliwi.
Au unaeza tumia smartphone unakua na Barua yako unayoifanyia edit kweny word then una convert kwenda Pdf unasign online kusave gharama.
 
Back
Top Bottom