mimi picha inakataa though nina asilimia 100
Wana jf naomba kujuzwa,mimi niliapply nafasi utumishi mwezi huu na dedline ilikua tarehe 24/7/2015
but nimecheki recruitment portal upande wa application status wameandika-application review in progress,je wanamanisha nini?

Hakikisha vyeti na picha yako iko katika size ambayo inakubalika kuwa attached sehemu husika!nami kila nikiweka form academic qualification na picha inasumbua sijui tatizo ni nn
ii forum sio ya akina degree olders, instead great thinkers. jamaa anauliza vizuri unamjibu لننمالی kueni watu wa msaada kama uwezi kumsaidia pita tuu, sio lazma kukoment.