Hawa jamaa wa utumishi wanajichanganya sana. Kuna mahali wameweka unatakiwa kuattach transcripts wakati kwenye portal hakuna hiyo option.
Then wameweka unatakiwa uweke certified certificates so mtu lazima atoe kopi cheti then kigongwe mhuri wa advocate ndio unaattach wakati wangeweza kuwaambia watu wa-upload vyeti bila kuwa certified na wakakagua siku ya usaili.
Mkuu mbn unabug, mi nimetoka kufanya usahili juz tu vyet havijawa certified wala hakuna transcript.
Mkuu mbn unabug, mi nimetoka kufanya usahili juz tu vyet havijawa certified wala hakuna transcript.
Mkuu mbn unabug, mi nimetoka kufanya usahili juz tu vyet havijawa certified wala hakuna transcript.
Ulikidhi vigezo vyote vya tangazo la kazi.? Hilo ndo linaweza kuwa tatizo., unaweza ukafanya online application na ukaambiwa ni successfully lakini kumbe kuna vigezo vya tangazo la kazi hukuvitimizaDah wapendwa nimeumia sana, niliomba nafasi ya Engineer II Tanzania Minerals Audit Agency kupitia huo mfumo wa Recruitment Portal na Application Profile ilifika mpaka 92%, ila shortlist imetoka Jana na jina langu halipo..ki ukweli niko very discouraged Nina qualifications zote KwaZulu hio nafasi na nilifanya online application kwa utulivu na umakini mkubwa sana kila kitu kilikuwa successfully.. Lakini end of the day jina langu halipo inauma sana..msaada wapendwa nifanye nini? Coz walioitwa usaili wa kwanza wa kuandika ni tarehe 14 November...Je naweza kwenda offisi za utumishi na kupata msaada??
Maana yangu ulitimiza kigezo cha three years experience.? Usije kuwa ni fresh from school au experience yako ni less than three years.Kama nilivyosema wapendwa nilifanya application kwa utulivu na umakini mkubwa sana..masharti na vigezo vyote vilizingatiwa, kila taarifa au documents iliyohitajika niliiweka tena kwa format iliyoelekezwa...don't know what happened