Ajira Utumishi - Recruitment portal

Ajira Utumishi - Recruitment portal

Application status bado inasoma application review in progress, japo watu 25 tayari wameitwa kwa ajili ya written interview tarehe 14th November
 
Wote wenye kuhoji kuhusu vigezo, nasisitiza Nina vigezo vyote tena vingine nawazidi hata hao baadhi ambao majina yao yapo kwenye shortlist..kuna kitu hakipo sawa huko utumishi, ila time will tell
 
Unaandika barua kama kawaida kwenye word...ukimaliza unaweza ibadili hiyo barua kuwa katika pdf then unaenda kwenye portal yako sehem ya other attachment..ukifungua utaona sehemu ya barua, kisha unaattach barua yako na ikiwa tayari unasave. Nadhani nimekusaidia..

Vp ukiandika kwa mkono afu ukascan?
 
Unamaanisha viwe certified? Kwenye hii recruitment portal hapana....labda uangalie tangazo linasemaje. After all kwenye hii portal unascan original certificates si kopi

unascan coloured au black and white?
 
Nilisahau kuweka picha je maombi yangu yanaweza kuzingatiwa?
 
Wakuu kuna application ninaitumia kuscan documents mbalimbali kwa smartphone yangu inaitwa "CamScanner".Ni bonge la App,huitaji kwenda Stationery kuscan documents zako.Hopefully itawasaidia kwenye hiyo recruitment portal..Nawasilisha!!
 
Wote wenye kuhoji kuhusu vigezo, nasisitiza Nina vigezo vyote tena vingine nawazidi hata hao baadhi ambao majina yao yapo kwenye shortlist..kuna kitu hakipo sawa huko utumishi, ila time will tell
Sure bro usemavyo,ata Mimi nimeliona hilo mana nilikuwa na vigezo mpaka vya ziada cha ajabu ata kwenye shortlist sipo na nikiangilia ktk application status inasema application preview in progress najaribu kutafakari cpati jibu preview in progress wakati majina ya shortlist yashatoka!!!?
 
Issue sio kukata tamaa...omba tena system nazo huwa zinamatatzo yake.
 
Je upo uwezekano wa lolote kufanyika pale ambapo shortlist imetoka na jina lako halipo na baada ya kufuatilia ikagundulika hakuna kosa au pungufu lolote kwenye application yako..??? Je jina lako laweza kuongezwa kwenye hio shortlist au utakuwa reserve listed
 
Ivi niki apply kazi kisha nikafanikiwa kuitwa na nikaingia mpaka oral test, je nina ruhusiwa kuomba tena kazi endapo majina ya oral niliyofanya hayajatoka??.

Swali la pili, je ni marks ngapi natakiwa kupata ili kuweza kufaulu katika oral test?

Na je kama niko kwenye database kutokana na ufinyu wa nafac nitakaa humo kwa muda gani kabla ya ku expire? Na swali la mwisho je mna utaratibu wa kuweka watu kwenye blacklist endapo washapata ajira tayari??
Cc #kuku wa kienyeji.
 
Lower marks ni 50 itategemeana
 
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ?Bila shaka jibu lako ni ndio.

Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ?Ingia kwenye akaunti yako, click My applications.Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari.Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview

HONGERA SANA:

Nyongeza plus~updated 08 May 2015. Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ?Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave.

smallpdf.com/word-to-pdf ina uwezo wa kubadilisha document yako iliyo kwenye word to pdf.

Huna haja ya kuscan barua zako za kazi.

Duuhh!!! Mi tokea nianze kuomba hii ajira portal sijawahi kuchaguliwa yaani hata nguvu ya kuanza kuapply tayari imenitoka
Screenshot_20230215-114143.jpg
Screenshot_20230215-114241.jpg
 
Labda munipe ujuzi naombaje na nishajaza kalibia 95% na sielewi hta ila nafasi na kitengo sinakuja ila kuchaguliwa naona tu wenzangu wanachaguliwa
Sasa jamaa unaona kabisa apo vyeti vyako havipo certified umeandika barua na bado haujasign na wanakutelekeza kabisa na problem yako uliyokuwa nayo sasa huelewi nini..??
 
Sasa jamaa unaona kabisa apo vyeti vyako havipo certified umeandika barua na bado haujasign na wanakutelekeza kabisa na problem yako uliyokuwa nayo sasa huelewi nini..??
Huyu hayuko makini na mambo yake.
Mbona inshu ya kucertify Vyeti inafahamika sana kwa waomba ajira.

Na kaandikiwa hapo, bado haelewi.
 
Huyu hayuko makini na mambo yake.
Mbona inshu ya kucertify Vyeti inafahamika sana kwa waomba ajira.

Na kaandikiwa hapo, bado haelewi.
Mkuu napatwa na changamoto ya kubadilisha cheti pale kwenye eneo la education level. kuna document nimeiupload badala ya cheti sasa shida napata kwenye kuito hii document ili niweke pdf ya cheti. kila nikiedit nipata huu ujumbe[emoji117] "The filetype you are attempting to upload is not allowed. allowable formats ( pdf | png | jpg)" wakati cheti kipo kwenye format ya PDF.
 
Back
Top Bottom