Ajira Utumishi - Recruitment portal

Ajira Utumishi - Recruitment portal

Samahan jaman...
Ukituma maombi kwa hii portal ni lazma utumiwe notification kwamba wamepokea? au wakat mwingne huwa hawatumi
 
notification wanatuma kwenye email yako .mfno, hongera kwa kuomba nafasi ya katibu mkuu katika sekretarieti ya ajira ktk utumishi wa umma slp 63100 dsm
 
Jaman nauliza kama ni sahihi kuchangnya pdf na ms word kwenye attachments. Mfano vyeti vyote vipo kwenye mfumo wa pdf ila application letter na CV vipo kwenye mfumo wa ms word
 
Jambo linalonishangaza mbona my applction status bado inasoma application review in progress wakati tayari wameshaita watu kwenye usaili
 
Jaman nauliza kama ni sahihi kuchangnya pdf na ms word kwenye attachments. Mfano vyeti vyote vipo kwenye mfumo wa pdf ila application letter na CV vipo kwenye mfumo wa ms word


Hakuna shida mkuu lolypop
 
Last edited by a moderator:
Jambo linalonishangaza mbona my applction status bado inasoma application review in progress wakati tayari wameshaita watu kwenye usaili

ikuchanganye nini?...msiishi kwa kukariri kua hadi pale uone neno first interview,..kama sms umetumiwa na jina lako lime appear kwenye list ya wasailiwa,
what is your fear?
 
Jambo linalonishangaza mbona my applction status bado inasoma application review in progress wakati tayari wameshaita watu kwenye usaili

Hilo kweli ni tatizo. Mi nimeshapewa ajira sehemu lakini status yangu inasoma in progress mpaka sasa.

Pia system hii haina uwezo wa kutambua mtu aliyeajiriwa asiitwe tena kwenye usaili. Mfano mimi nimeshaajiriwa lakini majina yaliyotoka jana nimeitwa tena sehemu nyingine kwa ajili ya usaili.

Nafikiri tuwape muda ili wafanye marekebisho. Tuendelee kutoa michango yetu ya jinsi tunavyotaka system ifanyeje kazi.
 
Wana jamii kuwa na password nyingi tofauti kumeniathiri hadi nimesahau Password ya PSRS.

Nimejaribu kufungua website ya PSRS Tangu juzi na kuclick kwenye neon Forgetpassword inaniletea message kwamba Account reset imetumwa kwenye kwa email ila nikifungua email sioni hiyo mail ya ku reset.

Naombeni msaada nifanyeje?
 
Mkuu wakati unajiunga na hao jamaa bila shaka walikutumia kwenye email yako kwaiyo angalia hyo paswed yako kwa email yako.Ukiikosa rudi tukusaidie haraka.
 
jaman ukisosea kuattach file tofauti kwenye kutuma unafanyeje??????
 
Je kwa case ya passport size photo limit size ni ngapi? Ya kwangu ni jpg format na size ni 1.35MB inazingua ku-upload... Mwenye kulifahamu hili msaada kwenye tuta please
 
Msaada wapendwa nashindwa ku-upload picha mwenzenu, nikienda kwenye kile kivuli cha kuweka picha kwenye dashboard kushoto haitaki kunipa option ya ku-upload picha na deadline ndio hio inanukia, msaada jamani
 
Msaada wapendwa nashindwa ku-upload picha mwenzenu, nikienda kwenye kile kivuli cha kuweka picha kwenye dashboard kushoto haitaki kunipa option ya ku-upload picha na deadline ndio hio inanukia, msaada
jamani

Tuma hivyo hivyo bila picha,me mbona nimetuma hivyo hivyo na nimeitwa kwa usaili...picha utaenda nayo siku ya usaili
 
Back
Top Bottom