KERO Ajira Mpya Nzega DC hatujalipwa pesa ya kujikimu tangu Feb 2025

KERO Ajira Mpya Nzega DC hatujalipwa pesa ya kujikimu tangu Feb 2025

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sisi watumishi wa ajira mpya katika halmashauri ya Wilaya ya Nzega yaani Nzega DC hatujalipwa pesa yetu ya kujikimu tangu mwezi Februari 2025 hadi leo
Hakika hii ni changamoto sana kwa Nzega DC, viongozi wa juu waokoe jahazi.
 
Back
Top Bottom