Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Utendaji kazi wa sasa ni wa slow slow sana compared na kipindi kile Hayati JPM alipotoa maagizo ya ajira tarehe 04/09/2020 na iliwachukua siku 3 tu na wakaruhusu watu waapply lkn Mh.Rais SSM aliwaagiza tarehe 06/04 wafanye haraka ajira za replacement lakini mpaka leo hawaeleweki kama watachukua majina ya kwenye database au wataruhusu application upya.Wao kila siku kwenye vyombo vya habari.Kuna yule jamaa anayejulikana kwa cheo cha PM, ndani ya mwezi mmoja tu! Tena pasipo hata na chembe ya aibu, aliwadanganya watu wazima wenzake mara mbili!
Alitudanganya kuhusu ajira hewa elfu 5! Na pia kuhusu afya ya yule mpita njia. Uongo uongo uongo! Wanasiasa ni viumbe waongo, vigeugeu na wanafiki sana. Siyo wa kuwaamini kwa 100%.
umeongea kweli, watanzania ni watu wakusahau, habari za report YA CAG ishasahaulika haraka sanawanasiasa wameshagundua nchi hii raia wake wako na matatizo ya ubongo, kwa hiyo wanaweza kudanganya lolote na watu wakasifia. Leo madudu ya CAG hayana kiki tena watu wameshahamishwa kwenye reli. ELIMU ELIMU ELIMU.
Mchakato mbona umeshaanza kimya kimya na kwa umakini mkubwa! Wewe subiri tu usikie watakao fanikiwa kupata check number.Utendaji kazi wa sasa ni wa slow slow sana compared na kipindi kile Hayati JPM alipotoa maagizo ya ajira tarehe 04/09/2020 na iliwachukua siku 3 tu na wakaruhusu watu waapply lkn Mh.Rais SSM aliwaagiza tarehe 06/04 wafanye haraka ajira za replacement lakini mpaka leo hawaeleweki kama watachukua majina ya kwenye database au wataruhusu application upya.Wao kila siku kwenye vyombo vya habari.
Wanaojitolewa watapata cheq no kimya kimya hahaha hizi ajira banaMchakato mbona umeshaanza kimya kimya na kwa umakini mkubwa! Wewe subiri tu usikie watakao fanikiwa kupata check number.
Wanaajiri walimu wanaojitolea.Utendaji kazi wa sasa ni wa slow slow sana compared na kipindi kile Hayati JPM alipotoa maagizo ya ajira tarehe 04/09/2020 na iliwachukua siku 3 tu na wakaruhusu watu waapply lkn Mh.Rais SSM aliwaagiza tarehe 06/04 wafanye haraka ajira za replacement lakini mpaka leo hawaeleweki kama watachukua majina ya kwenye database au wataruhusu application upya.Wao kila siku kwenye vyombo vya habari.
Hao mamluki hawakosekani. Ila kama vigezo vitafuatwa, litakuwa ni jambo jena sana kuwapa kipaumbele hawa wazalendo waliojitolea kwa muda sasa huko mashuleni, halafu nafasi zinazobaki ndipo mgombanie nyinyi ambao mlikuwa kitaa mkipambana na ishu nyingine!Wanaojitolewa watapata cheq no kimya kimya hahaha hizi ajira bana,
Mtu anaandikwa amejitolea hata chaki hajawahi kuishika.
Aisee mkuu niombe radhi.Hao mamluki hawakosekani. Ila kama vigezo vitafuatwa, litakuwa ni jambo jena sana kuwapa kipaumbele hawa wazalendo waliojitolea kwa muda sasa huko mashuleni, halafu nafasi zinazobaki ndipo mgombanie nyinyi ambao mlikuwa kitaa mkipambana na ishu nyingine!
Ingawa sikatai, wote mnastahili kuajiriwa. Maana na uhitaji nao ni mkubwa. Sema tu Serikali yenyewe nayo haina hela za kuwaajiri wahitimu wote kwa mpigo, baada ya kufanya uzembe alipoingia Hayati.
Anzisha uzi wako kakaNa mtoa uzi hii you MUST show RESPECT,sio mama Samia ni President Samia,na wewe sio msemaji wa watanzania wote ...eti kipenzi chetu JMP ...no no mimi hakuwa kipenzi changu please usinisemee nitaongea mwenyewe.
Shida na matatizo yamekuwa sehemu ya maisha yetu. Watajadili mambo ya kutumbuana tu huku kila mtu akipambana kutafuta pesa ya mboga.wanasiasa wameshagundua nchi hii raia wake wako na matatizo ya ubongo, kwa hiyo wanaweza kudanganya lolote na watu wakasifia. Leo madudu ya CAG hayana kiki tena watu wameshahamishwa kwenye reli. ELIMU ELIMU ELIMU.