Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,065
- 9,038
Who determine the positivity of things?killing could positive to others!Channel your anger into something positive like nice food ,workout ,ventur, sports and games not by commiting suiced or killing someone else
Kaka nishayapitia unaeza jikuta unaua kimchezomchezoAngemwua huyo mwanamke kwanza halaf ndio ajinyonge na yeye, apumzike anapostahili
Lakini nyie si ndio mlikua mna sema KWEKA ni mwanaume mjinga, imekuaje tenaHakuna mtu mpumbavu kama huyu sasa kwanini asingewaua ?
Mzee wame KUACHIA demu huyo, nikujipigia tuR.i.P Classmate....π«€
Ila umeondoka kizembe sana mazee.....π€₯
Duh asee.Hakuna mtu mpumbavu kama huyu sasa kwanini asingewaua ?
Mimi sijawahi kusema hivyo ila naamini kweka ni mfano wa kuigwa ujinga wowote inabidi uondolewe.....huyu wa leo ndio bonge la fala ilibidi awaue mke..mtoto..na huyo mchepukoLakini nyie si ndio mlikua mna sema KWEKA ni mwanaume mjinga, imekuaje tena
DuhhhMimi sijawahi kusema hivyo ila naamini kweka ni mfano wa kuigwa ujinga wowote inabidi uondolewe.....huyu wa leo ndio bonge la fala ilibidi awaue mke..mtoto..na huyo mchepuko
Hawasikii kabisaa, πππVijana achaneni na mapenzi mtaishaaaππππ
KATAA NDOA(MAHUSIANO YA KUDUMU) POINT KIBINDONI,,,TUNASWAGA MBELE KWA MBELE!!!!
πHIT AND RUN ACHANANENI NA UFUGAJI.KUNGURU HAFUGIKI!!!
Huyu ndio fala kweliKijana murij mkazi wa mbeya ametambulika kua aliwahi kua mwanafunzi wa shule ya iyoto mbeya, na amesoma na baadhi ya watu maarufu akiwrmo aunty lulu.
Murij alikua akiishi na mpenzi wake Binti kwa muda wa miaka mitatu 3, kama kawaida aliamka kwenda kazin asubuhi, alipo fika akatumiwa ujumbe na mpenzi wake kua ameondoka na amekwenda kwa mwanaume alie zaa nae, huyo mtoto na sio wa murij hivo ajue hilo.
Jamaa kashindwa kihandle situation kaamua kujinyonga.
Nimekumbuka Arusha, yule Binti sauda wa Tanga , asubuhi nipo job mara sms, alex unajua mi Nina watoto wa baba mwingine, hivo basi naona huta weza ishi nao naomba tuachane, dah nikifikiria sijawahi kumkosea kitu hata hao watoto siwajui dah nikawaza sa inakuwaje hii basi nikamjibu sawa. Ikizingatiwa nisha mfuma anaongea na mzazi mwenza mara kibao, nakausha tu
Baadae eti akadai alikua ananipima.imani, nikaona red flag hii. mmmh Imani Gani ya hivo nisikilize sauda kuanzia leo usitume sms yoyote kwa namba yangu marufuku takufata hapo uswahilini nikupe noma acha mara Moja, mi nawewe it's over
Huku NAUMIA moyoni ndio uanaume sabtafanyeje alafu demu NAMPENDA kinoma shepu imesimam kiuno laini, sura mashaallah, ila ahhg potelea potwe, asepe zake tu .