Ema Jackson
Member
- Apr 6, 2024
- 16
- 18
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au wizara ya elimu Vs MDAs au LGAs.
Naomba majibu yenu wana jf kabla sijaomba hizi kazi.
NB chini ni PDF ya hizo kazi