Ajificha kwenye tairi la ndege kutoka Afrika Kusini mpaka Uholanzi

Hilo cha mtoto
Sehemu alipojificha kuna hydraulics piping za kutosha na lile tairi linapozama linaacha gap ndogo sana kwa binadamu kuishi, wengi huwa wakifanya hivyo wanabanwa na landing gears...
Ukisikia mtoto wa mbwa ndo huyo
 
Maisha ya Afrika ni nusu jehanamu.
Huwa nawahadithia watasha wangu basi wanashangaa sana na wengine kitambo walikua wakija huku, duh! wanaona haya maisha yetu ni hatari tupu very undesirable kwa quality ya maisha anayopaswa kuishi binadamu.

Nakumbuka kuna rafiki mmoja alikua anaona aibu eti tuwafiche na wakija tuwapitishe sehemu nzuri tu . Nikikumbuka nacheka sana.
Hatari sana mkuu
 
Hilo cha mtoto
Sehemu alipojificha kuna hydraulics piping za kutosha na lile tairi linapozama linaacha gap ndogo sana kwa binadamu kuishi, wengi huwa wakifanya hivyo wanabanwa na landing gears.

Kingine ni feeezing point temperatures kwenye altitude ndege hizo inazosafiria, 40000 feets hakunaga oxygen

Kuna mengi sana yanashangaza kwenye tukio hilo , ila, all in all he is a very lucky man.

Toka maktaba:

22 April 2014

CNN's Gary Tuchman shows how the 16-year-old stowaway could have hid in the wheel well of an airplane



Source : CNN News
 

Toka maktaba :​

14 March 2021​

How I Survived Falling From A Plane | Minutes With | UNILAD​



this episode of ‘Minutes With’, we sat down with Themba Cabeka, a man who flew from South Africa to London by hiding in the wheel of a plane. Themba takes us through his life living on the streets in South Africa and how he, and his friend Carlito, came up with a plan to fly to the UK. On the flight Themba and Carlito hid in the plane's undercarriage. Eventually they passed out due to lack of oxygen as temperatures in the undercarriage reached -60 degrees celsius. We also spoke to Themba's friend, Gabriel Frood, who has been helping Themba get back on his feet in his new home in Liverpool.

Source : LADbible TV


More on
Stowaway stories:



READ MORE : Why SA stowaway risked his life: Themba Cabeka on perilous journey to the UK


In a statement on Sunday, Samsa said the investigation followed allegations by two Tanzanian nationals that they were thrown overboard from the MV Top Grace, a Panamanian-flagged bulk carrier, after illegally boarding the vessel while it was berthed at Durban harbour...
 
Hao wanaitwa mabaharia hata bongo wapo wanaojificha chini ya axle za nyuma za mabus yale yenye dabo diff toka mikoani waje dar jiji la bashite kama bahati sio yao kwenye bumps huwa wanabamizwa kama bahati ni yao wanatoboa hadi mbezi wanajificha hadi saba.
Wengine wanadandia tenk au contena juu usiku maadamu wafike dar.
 
Maisha ya Afrika ni nusu jehanamu.
Huwa nawahadithia watasha wangu basi wanashangaa sana na wengine kitambo walikua wakija huku, duh! wanaona haya maisha yetu ni hatari tupu very undesirable kwa quality ya maisha anayopaswa kuishi binadamu.

Nakumbuka kuna rafiki mmoja alikua anaona aibu eti tuwafiche na wakija tuwapitishe sehemu nzuri tu 😂. Nikikumbuka nacheka sana.
True hasa baada ya UHURU maisha ya waafrika yamekuwa ya hovyo Sana sababu ya viongozi wetu
 
Wana hatari si kidogo

Halafu ndege imetua mara mbili , kenya na uholanzi
He has had two landings , two take off
Jamaa ana bahati ya maisha asee.
Afu dogo imejulikana ni Mkenya wa miaka 22 tu, so utaona bado ni janki tu..
 
Back
Top Bottom