Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.
Kwamba huyaoni au ujeuri na kushupaza shingo? Nidhamu kazini ulikuwa huioni? Madaraja,Fly overs,Stendi mpya kibao zimejengwa! Maproject makubwa makubwa kama wa Nyerere utakaozalisha zaidi ya 2000MW, SGR,barabara kila kona,Ndege mpya na ufufuaji ATCL,Shule na hospital mpya zilizojengwa na maboresho sekta ya afya! Elimu bure! Maji vijijini yanamwagika! Mikopo vyuo vikuu kuongezeka,Mapato sekta ya madini kuongezeka! Makusanyo makubwa TRA katika historia! Uchumi kufikia level ya kati,Kuwajali na kuwasikiliza wanyonge! Yote hayo huwezi kuyaona! Anayeona ni yule mama kule kijijini ambaye hakuwa na huduma bora za afya wala maji ya bomba! Na bodaboda aliyekuwa anapita barabara za vumbi!Taja mambo makubwa aliyofanya tuyajue.
Kwenye hilo bandiko sijaona sehemu imeandika ajali ya moto.Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.
Ni kipi kipya hapo ambacho hakikuwahi kutekelezwa na watangulizi wake awamu kwa awamu? Mimi kijijini kwetu hakuna maji wala umeme, sasa nasifia lipi hapo?Kwamba huyaoni au ujeuri na kushupaza shingo? Nidhamu kazini ulikuwa huioni? Madaraja,Fly overs,Stendi mpya kibao zimejengwa! Maproject makubwa makubwa kama wa Nyerere utakaozalisha zaidi ya 2000MW, SGR,barabara kila kona,Ndege mpya na ufufuaji ATCL,Shule na hospital mpya zilizojengwa na maboresho sekta ya afya! Elimu bure! Maji vijijini yanamwagika! Mikopo vyuo vikuu kuongezeka,Mapato sekta ya madini kuongezeka! Makusanyo makubwa TRA katika historia! Uchumi kufikia level ya kati,Kuwajali na kuwasikiliza wanyonge! Yote hayo huwezi kuyaona! Anayeona ni yule mama kule kijijini ambaye hakuwa na huduma bora za afya wala maji ya bomba! Na bodaboda aliyekuwa anapita barabara za vumbi!
Tuanze kwa kukubaliana hapa kwanza kwamba ni mambo makubwa au si makubwa?Ni kipi kipya hapo ambacho hakikuwahi kutekelezwa na watangulizi wake awamu kwa awamu? Mimi kijijini kwetu hakuna maji wala umeme, sasa nasifia lipi hapo?
Kwa DPP je pesa ilipigwaMbona wakati wa jiwe alikuwa "anaokota" mabehewa pale bandari na mita za mafuta zinalegezwa
Na upigaji uliokuwa unaripotiwa na CAG jiwe alipiga kimya sababu mpigaji ni mtu wake...
Jiwe atakumbukwa kwa mema na mabaya pia.
Sawa si nchi hii ya kwenu wenyeweEnzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.
Nyamaza tu huelewi chochote bwana mdogo. Umeme unaouona ni juhudi za huyo JK kuleta Gas kutoka Mtwara hadi Kinyerezi ambao ndo kumefanya umeme wa uhakika unaouona. hizo zingine ni porojo tu. Kama sio hiyo gas maisha yangekuwa yaleyale ya siku zote. Sio Magu wa Samia angefanya chochote kwa muda huo mfupi.Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.
Ukiona unashangiliwa na chadema rudi ujitazame unakosea wapiView attachment 1777313
Ipo siku mtanikumbuka in JPM voic
Nakupa mfano, kisha wewe utaamua kama kuna rationality na morality kwa CAG ama baadhi ya wale wanaopewa hati chafu!Alipiga 1.5t mifumo ikiwa hewani,....
Siku ikitokea mtu akaniambia hivi "UNANIJUA MIMI NANI" Ajiandae kuwekwa Taya la plastic.Hatari sana!...
Wanapiga pesa alafu badae wanakuja kukuambia unanijua mimi nani?
Wanaposema "khitilafu ya umeme" wanamaana gani maana kichwa cha habari kinasema "moto"... ni kitu kimoja. Taarifa yao ya kiingereza inasema "power outage"; ina maana TRA HQ hawana backup ya umeme kiasi cha umeme kukatika na kusababisha usumbufu wote huu... ningekuwa yule fulani wala yasingepita masaa 24 watu waendelee kukalia magari yenye viyoyozi!Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.
Tuanze kwa kukubaliana hapa kwanza kwamba ni mambo makubwa au si makubwa?