Ajali ya moto TRA Headquarters: Mifumo yatoweka hewani, waomba radhi

Huwa sielewi mtu anapoandika jjna magufuli bila kutanguliza neno SHETANI. YAANI IWE SHETANI MAGUFULI.
 
Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.

Ipo siku mtanikumbuka in JPM voice.

View attachment 1777420

View attachment 1777269

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Taja mambo makubwa aliyofanya tuyajue.
Kwamba huyaoni au ujeuri na kushupaza shingo? Nidhamu kazini ulikuwa huioni? Madaraja,Fly overs,Stendi mpya kibao zimejengwa! Maproject makubwa makubwa kama wa Nyerere utakaozalisha zaidi ya 2000MW, SGR,barabara kila kona,Ndege mpya na ufufuaji ATCL,Shule na hospital mpya zilizojengwa na maboresho sekta ya afya! Elimu bure! Maji vijijini yanamwagika! Mikopo vyuo vikuu kuongezeka,Mapato sekta ya madini kuongezeka! Makusanyo makubwa TRA katika historia! Uchumi kufikia level ya kati,Kuwajali na kuwasikiliza wanyonge! Yote hayo huwezi kuyaona! Anayeona ni yule mama kule kijijini ambaye hakuwa na huduma bora za afya wala maji ya bomba! Na bodaboda aliyekuwa anapita barabara za vumbi!
 
Zama hii ina raha sana yaani mtu unajisikia raha kuwa na kiongozi anayezungumzia Haki kila wakati.
 
"Mtanikumbuka"
Huu msongo wa mawazo utasababisha hata mke akipewa mimba na jirani unahisi sababu ni shujaa wa Africa hayupo.

Mpeni sapoti SSH ndiye raisi wa JMT "utanikumbuka" haina msaada.
 
Kwamba huyaoni au ujeuri na kushupaza shingo? Nidhamu kazini ulikuwa huioni? Madaraja,Fly overs,Stendi mpya kibao zimejengwa! Maproject makubwa makubwa kama wa Nyerere utakaozalisha zaidi ya 2000MW, SGR,barabara kila kona,Ndege mpya na ufufuaji ATCL,Shule na hospital mpya zilizojengwa na maboresho sekta ya afya! Elimu bure! Maji vijijini yanamwagika! Mikopo vyuo vikuu kuongezeka,Mapato sekta ya madini kuongezeka! Makusanyo makubwa TRA katika historia! Uchumi kufikia level ya kati,Kuwajali na kuwasikiliza wanyonge! Yote hayo huwezi kuyaona! Anayeona ni yule mama kule kijijini ambaye hakuwa na huduma bora za afya wala maji ya bomba! Na bodaboda aliyekuwa anapita barabara za vumbi!
Ni kipi kipya hapo ambacho hakikuwahi kutekelezwa na watangulizi wake awamu kwa awamu? Mimi kijijini kwetu hakuna maji wala umeme, sasa nasifia lipi hapo?
 
Ni kipi kipya hapo ambacho hakikuwahi kutekelezwa na watangulizi wake awamu kwa awamu? Mimi kijijini kwetu hakuna maji wala umeme, sasa nasifia lipi hapo?
Tuanze kwa kukubaliana hapa kwanza kwamba ni mambo makubwa au si makubwa?
 
Mbona wakati wa jiwe alikuwa "anaokota" mabehewa pale bandari na mita za mafuta zinalegezwa
Na upigaji uliokuwa unaripotiwa na CAG jiwe alipiga kimya sababu mpigaji ni mtu wake...
Jiwe atakumbukwa kwa mema na mabaya pia.
Kwa DPP je pesa ilipigwa

Pia tra kipindi cha jiwe ofisi zilivunjwa
 
Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.

Ukiona unashangiliwa na chadema rudi ujitazame unakosea wapiView attachment 1777313

Ipo siku mtanikumbuka in JPM voic​
Nyamaza tu huelewi chochote bwana mdogo. Umeme unaouona ni juhudi za huyo JK kuleta Gas kutoka Mtwara hadi Kinyerezi ambao ndo kumefanya umeme wa uhakika unaouona. hizo zingine ni porojo tu. Kama sio hiyo gas maisha yangekuwa yaleyale ya siku zote. Sio Magu wa Samia angefanya chochote kwa muda huo mfupi.
 
Alipiga 1.5t mifumo ikiwa hewani,....
Nakupa mfano, kisha wewe utaamua kama kuna rationality na morality kwa CAG ama baadhi ya wale wanaopewa hati chafu!

CAG katika ukaguzi wake kutumia ukiukwaji wa tarabu kwa nia njema yeye uona ni uhalifu.

Mfano kuna chuo kimoja kizito hapa nchini kilikuwa kimetengewa milioni kadhaa ,say 600, kununua basi la kubeba wanafunzi katika bajeti. Basi lenyewe lilikuwa fancy lina viti vya leather fake, na mambo mengine kama hayo, huku kuhudumia basi hilo kwa scheduled maintanance ikiwa ni gharama kubwa. Halafu idadi ya abiria ni 60 tu ndiyo wanabebwa. Timu ya wataalamu ya chuo hicho, wakagundua wakifanya ulinganishaji na mabasi mengine ambayo siyo fancy na yana vifaa halisi ingawa havivutii sana kwa sura na scheduled maintenance ni nafuu sana katika gharama kwa wa mabasi hayo, wanaweza kupata mabasi mawili tena ya kubeba abilia 60 kila moja tena kwa milioni say 570. Hivyo, kwa mabasi hayo mawili ya bei nafuu yanawezesha chuo kubeba wanafunzi 120 kwa mpigo

Kwa nia njema ya kutumia fedha za serikali kwa weledi na value for money inaonekana, uongozi wa chuo ukanunua yale mabasi mawili wakaachana na fancy basi. Sasa ushangae, kwenye ukaguzi wa CAG, chuo hicho kikawa miongoni mwa vyuo vinavyotumia vibaya fedha za Serikali!!! Kisa eti chuo kilitakiwa kununua basi fancy kama kilivyokuwa kimepangiwa.

Sasa jiulize nani ana nia njema na matumizi yenye manufaa ya fedha za serikali kati ya CAG na uongozi wa chuo!?
===
Hapo sijawagusa maafisa manunuzi!
 
Si anawataka hakina Kidata mtu ambae pamoja na kwamba ni rafiki wa Magufuli ilibidi apewe demotion.

Bado moto ndani ya CCM mwenzake aliweka amateurs hakina Bashiru na Polepole kama puppets on his strings wacheze mziki wake mpaka usiku wa manane wanateta ndio maana wakawa wajeuri na kuwamudu wasumbufu.

Mama anaweka amateurs kwenye safu ya juu CCM halafu wana autonomy; subiri mziki wake unakuja tu.

Don’t fix if it’s not broken hasikii.
 
Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.

Ipo siku mtanikumbuka in JPM voice.

View attachment 1777420

View attachment 1777269
Wanaposema "khitilafu ya umeme" wanamaana gani maana kichwa cha habari kinasema "moto"... ni kitu kimoja. Taarifa yao ya kiingereza inasema "power outage"; ina maana TRA HQ hawana backup ya umeme kiasi cha umeme kukatika na kusababisha usumbufu wote huu... ningekuwa yule fulani wala yasingepita masaa 24 watu waendelee kukalia magari yenye viyoyozi!
 
Back
Top Bottom