enzi za JK ilikuwa hivihivi. umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually, watu wanapiga pesa.
ipo siku mtanikumbuka in JPM voice.View attachment 1777269
Kwani tra ni bandarini,au ulikuwa unakimbizwa wakati unaadika habari hii,kuna tra na tpa,wewe unasemea nani hapa.enzi za JK ilikuwa hivihivi. umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually, watu wanapiga pesa.
ipo siku mtanikumbuka in JPM voice.View attachment 1777269
Mbona wakati wa jiwe alikuwa "anaokota" mabehewa pale bandari na mita za mafuta zinalegezwa
Na upigaji uliokuwa unaripotiwa na CAG jiwe alipiga kimya sababu mpigaji ni mtu wake...
Jiwe atakumbukwa kwa mema na mabaya pia.
alikuwepo Jpm na bado bandari walikuwa wanapiga hela.enzi za JK ilikuwa hivihivi. umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually, watu wanapiga pesa.
ipo siku mtanikumbuka in JPM voice.View attachment 1777269
watakimbia uzi. punguza makaliMbona wakati wa jiwe alikuwa "anaokota" mabehewa pale bandari na mita za mafuta zinalegezwa
Na upigaji uliokuwa unaripotiwa na CAG jiwe alipiga kimya sababu mpigaji ni mtu wake...
Jiwe atakumbukwa kwa mema na mabaya pia.
"Nawaambieni mtanikumbuka, Si kwa mabaya bali kwa mema!"
Alipata kusema shujaa mmoja wa Afrika.
Endelea kupumzika kwa amani.
Kwani tra ni bandarini,au ulikuwa unakimbizwa wakati unaadika habari hii,kuna tra na tpa,wewe unasemea nani hapa.
Acha Ushamba usituaibishe Watanzania System kuCrash mbona huwa ni kawaida hivi Magufuli aliwatoa wapi nyie?Ukiona unashangiliwa na chadema rudi ujitazame unakosea wapiView attachment 1777313