Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 882
- 1,029
Mamlaka zenyewe zinasema hii ni taharuki umetuletea wananchiAjali muda huu maeneo ya Mzakwe ( Dodoma)basi la Dar Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Dar Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
Mungu awaepushe na vifo..Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
View attachment 2415508View attachment 2415509View attachment 2415510
Hii ajali no shoo kwa shoo...dereva na abiria wa mbele na wasiofunga mikanda Mungu awaepushe na majangaAjali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
View attachment 2415508View attachment 2415509View attachment 2415510
DuhAjali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
View attachment 2415508View attachment 2415509View attachment 2415510
Hatari saana..Hii ajali no shoo kwa shoo...dereva na abiria wa mbele na wasiofunga mikanda Mungu awaepushe na majanga
Hilo basi lilipita MinjinguSawa mkuu ,ongeza nyama kidogo.
Hata Mdorii tumeliona.Hilo basi lilipita Minjingu
Kwahiyo unamaanisha shetani na Mungu wanashindana nguvu??Kuanzia September to December ndiyo miezi ya vifo vingi Kwa pamoja hii ni miezi ya vita kwenye ulimwengu wa roho shetani anataka kukamilisha idadi yake na MUNGU anataka kulinda watu wake