mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,898
- 106,185
Laana au ndy ukweli wenyeweHii unachofanya ndiyo tunaita laana. Unalaani watu! na iwapate tu!
Pale akidumbukia mtu maarufu basi wataparekebisha
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Laana au ndy ukweli wenyeweHii unachofanya ndiyo tunaita laana. Unalaani watu! na iwapate tu!
Nasisi wa mbagala tutumie njia Ipi mkuuuHiyo njia ni pasua kichwa sana watu wa Mbinga, Nyasa, Peramiho, Songea, Muhukuru,
nk.
Tafadhari tumieni njia ya kusini ya Dar-Lindi_Tunduru katika safari zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu linapeleka watu Kilimanjaro na arushaKwanini anunue bombadier hali ya kuwa daraja lina beep kuua raia?
Hajui kama fusso inatumia stopper,na je kama upepo ulikuwa kwachuNa uyo wa Fuso je acha kujadili mambo kwa assumption fika eneo la tukio kisha ndo uweze kutoa hoja na kujadii mambo la sivyo huna haki ya kuongea lolote juu ya hii ajaali kuna sababu nyingi zinazopelekea ajali na usizani kila anayepata ajali ni mzembe ama hajui kuendesha gari!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii picha imenivutia mno.
Unaonekana hata hilo daraja lilipo hupafahamu, acha kukurupukaHiyo njia ni pasua kichwa sana watu wa Mbinga, Nyasa, Peramiho, Songea, Muhukuru,
nk.
Tafadhari tumieni njia ya kusini ya Dar-Lindi_Tunduru katika safari zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dereva ana roho ngumu..yani ni darajani hapo ila bado aliuza msala kushoto...ila hesabu zake zilitimia la sivyo angetumbukiza basi lote mtoni.Dah,ilibaki kidogo tu bus liingie mtoni aisee
Wakati unacheka, hukujamba?Ahahahaaaa we jamaa bhana,nimecheka sana
always positive
Tumia akili, hapo uzembe ni wa nani?Kwanini anunue bombadier hali ya kuwa daraja lina beep kuua raia?
Jifunze kuandika ndio tutaelewana. Kama hata kuandika bado ni changamoto kwako huwezi kuelewa ninamaanisha nini.Na uyo wa Fuso je acha kujadili mambo kwa assumption fika eneo la tukio kisha ndo uweze kutoa hoja na kujadii mambo la sivyo huna haki ya kuongea lolote juu ya hii ajaali kuna sababu nyingi zinazopelekea ajali na usizani kila anayepata ajali ni mzembe ama hajui kuendesha gari!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la umu Jf ni kila mtu kujifanya ni mtaalamu katika taaluma zote yani kisa kasoma HKL basi anazani kila kitu ni kama anavyofikiria yeye wewe umeona picha garai tatu zomegongana tena ziko katikati ya daraja alafu unaanza kuketa argument za ajabu ajabu badala ya uulizie inekuwaje wewe unaanza kuleta u much know mwingi ama hawa ndo wale wa aviation pushbackHajui kama fusso inatumia stopper,na je kama upepo ulikuwa kwachu
Huna chochote unacho maanisha kifupi huna hoja yoyote ya msingi ndo nyie wa aviation pushback!!Jifunze kuandika ndio tutaelewana. Kama hata kuandika bado ni changamoto kwako huwezi kuelewa ninamaanisha nini.
Fuso ndio mwenye kosa...! Shenzi kabsa
Duh kwan hili daraja lipo songea mkuu?Hiyo njia ni pasua kichwa sana watu wa Mbinga, Nyasa, Peramiho, Songea, Muhukuru,
nk.
Tafadhari tumieni njia ya kusini ya Dar-Lindi_Tunduru katika safari zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app