Hilo daraja la miaka mingi sana. Serikali inasubiri nn kufanya upanuzi wa daraja hilo.Kama sio kwamba kuna gari limefeli break.
Basi ni utaahira wa madereva maana daraja linafahamika ni njia ya gari moja kwa wakati sasa watakutana vipi hapo kati kati kama vile wanataka kuwahiana?
Wameshaaza umaandalizi oale mbele ya mtambo wa majiHilo daraja la miaka mingi sana. Serikali inasubiri nn kufanya upanuzi wa daraja hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaaaa we jamaa bhana,nimecheka sanaHapana wanakula Mamba.
Labda breki ziligoma.Kama sio kwamba kuna gari limefeli break.
Basi ni utaahira wa madereva maana daraja linafahamika ni njia ya gari moja kwa wakati sasa watakutana vipi hapo kati kati kama vile wanataka kuwahiana?
Mkuu upo sahihi au mimi ndio sifahamu,me najua hiyo ni njia ya kwenda Tanga,Arusha na kuendelea sasa Songea inakujaje?Hiyo njia ni pasua kichwa sana watu wa Mbinga, Nyasa, Peramiho, Songea, Muhukuru,
nk.
Tafadhari tumieni njia ya kusini ya Dar-Lindi_Tunduru katika safari zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huko chini si kuna mamba?
Mabuss wanakimbia kuliko gari ndogo na wakikutana na taraffic wanasimama anachukua chake moto pale pale.....wanakuwa na posho yao all the way inclusive kwenye nauli…...Pale ni haraka ya Shambalai na dharau...
Sikubaliani Na hili....acha kupotosha jamiiMabuss wanakimbia kuliko gari ndogo na wakikutana na taraffic wanasimama anachukua chake moto pale pale.....wanakuwa na posho yao all the way inclusive kwenye nauli…...Pale ni haraka ya Shambalai na dharau...
Hilo daraja litakuja kujengwa la njia mbili siku ambapo mtu mkubwa akatapo dumbukia huko chini!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamba mkuu! Sema wa china wamewala SanaHakuna mamba ila kuna viboko
Wameshaaza umaandalizi oale mbele ya mtambo wa maji
Dish limeyumbaMkuu upo sahihi au mimi ndio sifahamu,me najua hiyo ni njia ya kwenda Tanga,Arusha na kuendelea sasa Songea inakujaje?
always positive
Na uyo wa Fuso je acha kujadili mambo kwa assumption fika eneo la tukio kisha ndo uweze kutoa hoja na kujadii mambo la sivyo huna haki ya kuongea lolote juu ya hii ajaali kuna sababu nyingi zinazopelekea ajali na usizani kila anayepata ajali ni mzembe ama hajui kuendesha gari!Hata mimi nashangaa, daraja linajulikana. Kwa haraka haraka huyo mwenye Lori kama amelazimisha maanake yuko mwanzoni kabisa.