Ajali mto Wami: Lori lagongana na basi la kampuni ya Shambalai

Hapo mpaka yatokee maafa ndio utawaona wanatokea kwenye kideo.
This is not right. Nguu zimewekweza mjini lkin wanasahau sehem muhimu
Kuna vitu ukiviwazia unashindwa hatabkuelewa uwezo wa viongozi wetu. Hilo daraja mi kiungo muhimu kwa mikoa ya Kaskazini na nchi jirani. Ila kama hawalioni, labda wanasubi kiongozi mkubwa wa nchi afie hapo ndio watafunguka ufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo daraja inatakiwa lijengwe lingine kubwa lenye njia mbili, tena isiwe ya kupishana. iwe kama barabara hizi kama Morogoro road kuanzia Kimara kuja posta. Wa kwenda asipishane na anayekuja, kila mmoja aende njia yake otherwise tutaendelea kulia kila siku.
Mbaya zaidi ikitokea ajali hapo inablock watumiaji wa njia yote. Abiria watakaa masaa kadha wa kadha hapo.

Ajabu nyingine hapo kuna traffic kuna police post hapo, ukipita utawaona wanajikalia chini ya mti tuu kama vile hawapo
 
Kwa ajari kama hii arafu deriva wa roli au basi akifa unategemea nisema RIP!!! Hawa jamaa sijui bange! Ama uchovu unawafyatua akili!?.

Kuna siku nigongwa na lori fuso la mchanga tumesimama kabisa mimi na kigari changu cha mkopo na roli kubwa upande wapili wa barabara kupisha mtu aliyedondoka katikati ya barabara. Ghafra naona fuso limeshuka uko juu nankuja kubonjeza bonet yangu.

Baada ya kasheshe nikamuuliza imekuwaje umehama kutika upande wa lori na kuja kwangu jamaa anajubu sasa ulitengea nijiginge kwenye lori nife. Kwa hiyo ulitaka kuja kuuniua. kwa jibu lake sikutaka kuelewa tena kisi iliishia mahakamani.
 
Ajali imetokea Jioni Hii daraja LA MTO wami USO kwa uso basi pamoja na Fuso. Taarifa zaidi zinakujaView attachment 1025909View attachment 1025910View attachment 1025911

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaendelea kusema kila siku madereva wengi sana wa tanzania wanajifunza kuongoza gari kwenda mbele tu kujali usalama na kujali ya kwamba hiyo ni dhamana yake hawalitambui hilo,ukitazama hiyo picha kunammoja alipashwa kutumia busara hapo wangeepusaha hiyo ajali lakini lawama utawasikia breki zilifeli me nitaendelea kukataa daima,% 80 ya ajali iko mikononi mwa dereva daima.Kuhusu hilo daraja nakubaliana na mchangiaji mmoja hapo hili daraja muda wake wa matumizi ulisha kwisha kabisa huwa linafanyiwa ukarabati wa kila mara kwenye kingo zake badala ya kuweka bajet hapo lijengwe jipya hiyo ni kati ya njia kuu ktk ukanda wetu wa afrika mashariki.Hapo ukiwa na mzigo ulio zidi tani 40 tanroad hawakupi kibali lazima uzunguke moro,dom,singida,arusha,kilimanjaro ndio uingie tanga garama ya usafirishaji inakuwa kubwa sana imeshawahi nikuta hiyo ilitusumbuwa sana maana mteja aligoma kabisa yy akiangalia kwenye google inamwonyesha tanga hapo tuu, kikwazo daraja hilo.
 
Back
Top Bottom