Ajali mto Wami: Lori lagongana na basi la kampuni ya Shambalai

Na uyo wa Fuso je acha kujadili mambo kwa assumption fika eneo la tukio kisha ndo uweze kutoa hoja na kujadii mambo la sivyo huna haki ya kuongea lolote juu ya hii ajaali kuna sababu nyingi zinazopelekea ajali na usizani kila anayepata ajali ni mzembe ama hajui kuendesha gari!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kama fusso inatumia stopper,na je kama upepo ulikuwa kwachu
 
Duuh! Pole kwa abiria.

Maana nimejikuta nawaza tu kama na mie ningekuwa mmoja wa abiria wa Shambalai sijui ningekuwa na hali gani maana nikipitaga pale tu huwa natetemeka na hapo gari linakuwa peke yake sasa hapo ndio yamegongana na kugongana aiseee.
 
Na uyo wa Fuso je acha kujadili mambo kwa assumption fika eneo la tukio kisha ndo uweze kutoa hoja na kujadii mambo la sivyo huna haki ya kuongea lolote juu ya hii ajaali kuna sababu nyingi zinazopelekea ajali na usizani kila anayepata ajali ni mzembe ama hajui kuendesha gari!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuandika ndio tutaelewana. Kama hata kuandika bado ni changamoto kwako huwezi kuelewa ninamaanisha nini.
 
Pia Serikali inawapasa kuliangalia upya lile daraja japo naweza sema kwa hilo tukio hao madereva wote nk hamnazo hasa pale kila mmoja alipokosa kuwa na Subira kwani kikawaida inajulikanaga kabisa pale kupita ni gari moja hivyo mwingine yampasa kusubiri.
 
Hajui kama fusso inatumia stopper,na je kama upepo ulikuwa kwachu
Tatizo la umu Jf ni kila mtu kujifanya ni mtaalamu katika taaluma zote yani kisa kasoma HKL basi anazani kila kitu ni kama anavyofikiria yeye wewe umeona picha garai tatu zomegongana tena ziko katikati ya daraja alafu unaanza kuketa argument za ajabu ajabu badala ya uulizie inekuwaje wewe unaanza kuleta u much know mwingi ama hawa ndo wale wa aviation pushback

Sent using Jamii Forums mobile app
 
swala la kuhusu hili daraja lilishajadiliwa sana humu na tatizo la nchi yetu ,mpaka uamuzi utoke pale magogoni ndio litatekelezwa,hizi ajali zitaendelea kutokea hadi hapo tutakapo fanya maamuzi haya ambayo sio rocket science kuyafanya;both sides (kabla ya kuanza kuingia darajani kuwe na compulsory stop,regardeless kuna gari au hakuna gari inayopita daraja) hii itasaidia kulifanya gari kuingia darajani na gea nzito kwa hiyo kuwa na mwendo mdogo;tuweke traffic light itakayotumia mionzi ya jua ,hii itasaidia kuruhusu gari moja at a time,pawe na traffic cops full time pale (24/7) kuona sharia zitatekelezwa;sometime I don't understand why kuna polisi wa kudumu pale daraja la Ruaha,chini ya mteremko wa Mikumi,few kms before Iringa (karibu na Kihesa) hawa wote ni utumiaji mbaya wa nguvu kazi,weka polisi pale Wami ambapo wanahitajika zaidi .tuenedeleeni kusubiri.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom