Ajali: Bus la Kampuni ya Frester lapata ajali

Dec 2, 2023
19
28
Basi la kampuni ya Frester Road Ways limepata ajali maeneo ya katikati ya Gairo na Kiyegea, limegongana uso kwa uso na lori.

Taarifa za awali ni kuwa dereva wa basi alikuwa anataka kuovertake bila kuchukua tahadhali.

1701787094317.png


1701786999170.png

1701787148843.png

1701787200395.png
 
Daah hawa Madereva wa bus ni hatari sana huwa hawaoni hatari mbele yao wanakua mwendokasi na hawaogopi gari yeyote iliyo mbele yao na wana makadirio kidogo sana ukiwa na gari ndogo ni rahisi kusubiri lipite ila sio gari kubwa...inatakiwa iwepo fine kubwa kwa Bus linasobabisha ajali hata kuwalipa wahanga kama Zambia au Zimbabwe huo upuuzi utapungua sana..
 
Naona impact haikuwa kubwa, naona matajiri wanakimbizana na pesa za mwisho wa mwaka! Jamani ee, roho za watu hazina spare! Madereva ongezeni umakini barabarani na mwendokasi siku zote unaua
 
Back
Top Bottom