Ajali mto Wami: Lori lagongana na basi la kampuni ya Shambalai

swala la kuhusu hili daraja lilishajadiliwa sana humu na tatizo la nchi yetu ,mpaka uamuzi utoke pale magogoni ndio litatekelezwa,hizi ajali zitaendelea kutokea hadi hapo tutakapo fanya maamuzi haya ambayo sio rocket science kuyafanya;both sides (kabla ya kuanza kuingia darajani kuwe na compulsory stop,regardeless kuna gari au hakuna gari inayopita daraja) hii itasaidia kulifanya gari kuingia darajani na gea nzito kwa hiyo kuwa na mwendo mdogo;tuweke traffic light itakayotumia mionzi ya jua ,hii itasaidia kuruhusu gari moja at a time,pawe na traffic cops full time pale (24/7) kuona sharia zitatekelezwa;sometime I don't understand why kuna polisi wa kudumu pale daraja la Ruaha,chini ya mteremko wa Mikumi,few kms before Iringa (karibu na Kihesa) hawa wote ni utumiaji mbaya wa nguvu kazi,weka polisi pale Wami ambapo wanahitajika zaidi .tuenedeleeni kusubiri.
We hujiulizi?hapo daraja la wami juu kuna kituo cha police syo mbali sana na hapo
Jiulize kwanini hawakai hapo kuongoza magari...
Ila solution hapo ni ijengwe daraja la njia mbili tu (full stop)Gari ziwe zinapita Bila ya kubanana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia Serikali inawapasa kuliangalia upya lile daraja japo naweza sema kwa hilo tukio hao madereva wote nk hamnazo hasa pale kila mmoja alipokosa kuwa na Subira kwani kikawaida inajulikanaga kabisa pale kupita ni gari moja hivyo mwingine yampasa kusubiri.
Mbona unalaumu tu mama
 
Ajali imetokea Jioni Hii daraja LA MTO wami USO kwa uso basi pamoja na Fuso. Taarifa zaidi zinakujaView attachment 1025909View attachment 1025910View attachment 1025911

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui daraja hili litajengwa lini:mad::mad::mad: au mpaka watu watumbukie mtoni na watu wapoteze maisha, ndo tutashtuka na kuanza kujenga daraja hilo!!. Kimsingi daraja hilo ni finyu sana pamoja na barabara haiwezi kuaccomodate magari mawili yanayopishana katika nia yenye mteremko mkali kiasi hicho.
 
Kama sio kwamba kuna gari limefeli break.

Basi ni utaahira wa madereva maana daraja linafahamika ni njia ya gari moja kwa wakati sasa watakutana vipi hapo kati kati kama vile wanataka kuwahiana?
Hapo ndiyo utajuwa kuwa bangi sio mchicha
 
Hilo daraja la miaka mingi sana. Serikali inasubiri nn kufanya upanuzi wa daraja hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu ukiviwazia unashindwa hata kuelewa uwezo wa viongozi wetu. Hilo daraja mi kiungo muhimu kwa mikoa ya Kaskazini na nchi jirani. Ila kama hawalioni, labda wanasubi kiongozi mkubwa wa nchi afie hapo ndio watafunguka ufahamu.
 
Back
Top Bottom